majaribu 2013...
Kuna sababu yoyote inakufanya uwafikirie wanawake kwenye hali hasi kiasi hicho, au lengo lako ni kurekebisha baadhi ya dada/mama/shangazi na watoto wetu?
.>>> Tunajua wapo ila hawawauzii wanawake wenzao, wanatuuzia sisi kwa hiyo tujiangalie pia. Pia kuwasema hao walioolewa, wenye waume zao kuwa wanajiuza? Kwani wahudumiwe na nani?
Kama wewe ni mkristo naomba usome kitabu cha mwanzo, wakati Mungu anaamlaani Adam baada ya kuanguka dhambini,. HAKIKA KWA JASHO LAKO UTAKULA, NA MIIBA ITAKUCHOMA(sijaichukua kama ilivyo ), na mwanamke alilaaniwa vipi, KWA UCHUNGU UTAZAA! sasa wewe ungependa mwanamke ndo akupe na kukutafutia chakula?
Kutafuta rizki ni jukumu la mwanaume, mwanamke anabaki kuwa msaidizi.... hapa nazungumzia mume na mke, hao wanaojiuza huko buguruni mimi sina la kuchangia.