Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Poleni sana Dada na mama zetu!!! Tunatofautiana sana kimtazamo kuhusu wanawake! Baadhi yetu hatuafiki kashfa na kejeli zinazotolewa dhidi yenu.
Tunatambua michango yenu na umuhimu wenu katika maisha.
Nataka mfahamu ninyi ni zawadi kubwa kuliko zote Mwenyezi Mungu alizowahi kumpa Adam.a.k.a. ME.
Hivyo basi maneno machafu yanayotolewa dhidi yenu yasiwakatishe tamaa, chukulieni ni STRESS za baadhi yetu za maisha.
Hali ngumu ya uchumi imebana kiasi cha kufanya wanaume washindwe ku reason out..., Tatizo la kiuchumi ndilo linalosababisha tukwepe wajibu na majukumu yetu, hivyo kupelekea kutoa povu dhidi ya wanawake... Am sorry to say this, but it is the truth!!
Hata performance ya sex imeshuka simply bcoz, we can't afford proper food, and the like.
Mbaya zaidi Ina frustrate unapotamani type fulani ya mwanamke halafu huwezi kumpata since you can't afford to take a good care of her....
Hizi ni stress za UMASIKINI.
Poleni kwa kuwa victims, ila msijali tunawathamini na kuwaheshimu!!!
BIG UP TO ALL MAMAS a.k.a WOMEN!!!
 
Dah mi mwanaume lakini imeniuma kuona jinsi mlivyozalilishwa katika ile thread. Nawapa pole dada zangu mama zangu na shangazi zangu. Na haya yote yaliyoongelewa hapa ni kwelh mtupu na nakubali kuwa ''SISI WANAUME NDIO CHANZO CHA YOTE''
Wanaume tujiheshimu na tulizike na tuliokuwa nao.
 
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN

pole sana,Mwenyezi MUNGU kujalie hilo uliloomba kwa wingi wa rehema na fadhili zake.
 
Somtyms huwa nikiona mtoto baba kamtekelza mtoto nahis labda may b it was a busines na mkataba ulishaisha!Tamaa mbaya sn
Wengine DNA zinawafanya watelekeze watoto. Si unajuwa 48% ya wababa wanalea watoto wasio wao..??!!!
 
Dah mi mwanaume lakini imeniuma kuona jinsi mlivyozalilishwa katika ile thread. Nawapa pole dada zangu mama zangu na shangazi zangu. Na haya yote yaliyoongelewa hapa ni kwelh mtupu na nakubali kuwa ''SISI WANAUME NDIO CHANZO CHA YOTE''
Wanaume tujiheshimu na tulizike na tuliokuwa nao.
Acha kujeneroraizi bana, kama wewe ni chanzo basi ni wewe, wengine siyo
 
Mwanaume asiye mheshimu mama ake alaaniwe yeye na kizazi chake.
 
Ile thread inawezekana ndo the best ktk huu mwaka,!kabla ya kuanza kulaumu,kuhuzunika,kulaani,na kujionea huruma ,naona ingekuwa vyema mngemprove wrong mtoa mada wa mwanzo! Msijibu emotionally your great thinkers jamani !la sivyo jamaa ataonekana mkweli,sababu huu ni uzi wa tatu naona unaijibu ile mada!halafu mmeanzisha nyuzi nyingine nje ya uzi mkuu hilo nalo naona tatizo,poleni ila ukweli unauma
 
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN

Amen sis...hii sala yako imenigusa. Na kila mwanamke duniani aiseme kila siku anapoamka na anapoenda kulala...
 
Dah mi mwanaume lakini imeniuma kuona jinsi mlivyozalilishwa katika ile thread. Nawapa pole dada zangu mama zangu na shangazi zangu. Na haya yote yaliyoongelewa hapa ni kwelh mtupu na nakubali kuwa ''SISI WANAUME NDIO CHANZO CHA YOTE''
Wanaume tujiheshimu na tulizike na tuliokuwa nao.

Naona kuna kitu tunashindwa kuelewana. Hizi hoja mbili tunaelewana tofauti.
 
Kiukweli inaumiza kuona bado kuna wanaume wakatili,wasio na utu na wanyanyasaji wa kijinsia kama yule na waliosupport ule uzi...hata kama hautotuheshimu ss usiotufahamu at least show some respect to your mother and female relatives..sometym huwa nawaza kuwa jf imeingiliwa na wavuta bangi coz sidhani kama maneno yale yametoka kwa mtu mwenye akili timamu.

Mungu tusaidie na bariki vizazi vyetu.
 
Sister mama punguza utaniliza ujue mwenzio,mambo mengine yanaumiza kuliko kuumiia kulivyo.
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna jambo gani linaendelea hapa...

Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.

Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.

Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.
 
phill ukisoma kwa undani na kutafakari mwandishi aliandika out of emotions yes,lakin emotions zake hazikumpotosha aandike pumba,ukisoma kwa makini utaona ameandika facts na sio maneno maneno tu yasiyo na kichwa wala miguu,jamani we must show respect to women,em tuimagine life bila mama jamani,umewahi kujiuliza how much can a woman sacrifice for her family?

umewahi kujiuliza mama yako alipitia mambo gani mpaka kukufikisha hapo ulipo?

unajua alijitoa sadaka kiasi gani ili wewe ufikie hapo ulipo?

inauma kudharau wanawake.
Ile thread inawezekana ndo the best ktk huu mwaka,!kabla ya kuanza kulaumu,kuhuzunika,kulaani,na kujionea huruma ,naona ingekuwa vyema mngemprove wrong mtoa mada wa mwanzo! Msijibu emotionally your great thinkers jamani !la sivyo jamaa ataonekana mkweli,sababu huu ni uzi wa tatu naona unaijibu ile mada!halafu mmeanzisha nyuzi nyingine nje ya uzi mkuu hilo nalo naona tatizo,poleni ila ukweli unauma
 
Last edited by a moderator:
ile thread inawezekana ndo the best ktk huu mwaka,!kabla ya kuanza kulaumu,kuhuzunika,kulaani,na kujionea huruma ,naona ingekuwa vyema mngemprove wrong mtoa mada wa mwanzo! Msijibu emotionally your great thinkers jamani !la sivyo jamaa ataonekana mkweli,sababu huu ni uzi wa tatu naona unaijibu ile mada!halafu mmeanzisha nyuzi nyingine nje ya uzi mkuu hilo nalo naona tatizo,poleni ila ukweli unauma

omg!!!!!!!
 
Ole wenu! Ole wenu! Ole wenu mnaojipa moyo kuwa wanawake wanajiuza na kuendelea kuwafanyia maovu.
.

Pole sana mdada,
Uyasemayo ni point tupu.
1) Kwanza kwa niaba ya 'Sensible men' nikuombe samahani as si wanaume wote tuna msimamo huo
2) Pili mvumilie jamaa pia kwa sababu inawezekana si kosa lake bali ni polished point of view itokanayo na watu wanaomzunguka. Kama wanawake wanaomzunguka wengi wako hivyo obviously hiyo ndo tasfsiri yake ya wanawake. Kuna watu wamepitia maisha magumu kiasi kwamba akiongea unasikitika.
3) Msamehe bure huwezi jua hao wanawake waliomzunguka wamemfanyeje + Natural habit ya mwanadamu kukuza(exaggerate) mambo.
 
Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.

Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.

Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.

mhhh my babu upo huku nilikuwa nakutafuta nikuulize hivi eti kwani na we bibi anakuuziaga?afu nimekumisije babu???????em nichum mjukuu bana niridhike mie.
 
Back
Top Bottom