Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Poleni sana Dada na mama zetu!!! Tunatofautiana sana kimtazamo kuhusu wanawake! Baadhi yetu hatuafiki kashfa na kejeli zinazotolewa dhidi yenu.
Tunatambua michango yenu na umuhimu wenu katika maisha.
Nataka mfahamu ninyi ni zawadi kubwa kuliko zote Mwenyezi Mungu alizowahi kumpa Adam.a.k.a. ME.
Hivyo basi maneno machafu yanayotolewa dhidi yenu yasiwakatishe tamaa, chukulieni ni STRESS za baadhi yetu za maisha.
Hali ngumu ya uchumi imebana kiasi cha kufanya wanaume washindwe ku reason out..., Tatizo la kiuchumi ndilo linalosababisha tukwepe wajibu na majukumu yetu, hivyo kupelekea kutoa povu dhidi ya wanawake... Am sorry to say this, but it is the truth!!
Hata performance ya sex imeshuka simply bcoz, we can't afford proper food, and the like.
Mbaya zaidi Ina frustrate unapotamani type fulani ya mwanamke halafu huwezi kumpata since you can't afford to take a good care of her....
Hizi ni stress za UMASIKINI.
Poleni kwa kuwa victims, ila msijali tunawathamini na kuwaheshimu!!!
BIG UP TO ALL MAMAS a.k.a WOMEN!!!

UMEMALIZAAAAAAAA
LIKE YAKO NMEKUPA

shida ni umaskini tuuu, hakuna jipya
 
Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.

Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.

Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.

Shukrani mpwa maana kipande hii sikuwa nimetia maguu muda kidogo
 
Pet Cash you are a treasure,you are a real man,keep it up.words are strong hope they will at least release the pain of double R na wanawake wote.
Pole sana mdada,
Uyasemayo ni point tupu.
1) Kwanza kwa niaba ya 'Sensible men' nikuombe samahani as si wanaume wote tuna msimamo huo
2) Pili mvumilie jamaa pia kwa sababu inawezekana si kosa lake bali ni polished point of view itokanayo na watu wanaomzunguka. Kama wanawake wanaomzunguka wengi wako hivyo obviously hiyo ndo tasfsiri yake ya wanawake. Kuna watu wamepitia maisha magumu kiasi kwamba akiongea unasikitika.
3) Msamehe bure huwezi jua hao wanawake waliomzunguka wamemfanyeje + Natural habit ya mwanadamu kukuza(exaggerate) mambo.
 
Last edited by a moderator:
mhhh my babu upo huku nilikuwa nakutafuta nikuulize hivi eti kwani na we bibi anakuuziaga?afu nimekumisije babu???????em nichum mjukuu bana niridhike mie.

Tena ushindwe na ulegee. Bibi yenu siyo chumvi tafazali.

Hilo la kuchum hebu twende tukamaliziane PM kule. Nna stock kubwa sana ya mahaba yako.
 
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN

No comment!Poleni sana,
Siku zote nitasema na nitaendelea kuyasimamia haya,''Wapo wanawake wengi sana wanajiuza lakini sio wanawake WOTE wanajiuza'' na ''Wako wanaume wengi sana wana kauli za kudhalilisha wanawake lakini sio wanaume WOTE wanakauli wala tabia hizo''.
Chamsingi kila upande ujiheshimu na kutimiza wajibu wake!
 
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa babu umenipaje raha miye???????sasa babu ndo uone watu wanavyokera wenzao tokea lini bibi na wanawake wakawa chumvi iuzwayo dukani?babu yangu em wagombeze banah waache hiyo tabia siyo nzuri ujue?
Tena ushindwe na ulegee. Bibi yenu siyo chumvi tafazali.

Hilo la kuchum hebu twende tukamaliziane PM kule. Nna stock kubwa sana ya mahaba yako.
 
jf unapata kila kitu
it is a stress free zone
n a source of stress pia
ile thread imenitia hasira
 
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa babu umenipaje raha miye???????sasa babu ndo uone watu wanavyokera wenzao tokea lini bibi na wanawake wakawa chumvi iuzwayo dukani?babu yangu em wagombeze banah waache hiyo tabia siyo nzuri ujue?

Siyo tabia nzuri kwa wanaouza kiasi cha kufanya watu wajenerolaiz.

Siyo tabia nzuri kwa wanaonunua.

Siyo tabia nzuri kwa wanaojenerolaiz kuwa kila mwanamke ni muuzaji.

Siyo tabia nzuri.
 
Kusema ule ukweli wanawake wana face mitihani mingi sana kuna haja ya kukaa na kuliangalia mara mbili suala hili!maofisini kila bosi wa kiume atamtongoza mfanye kazi wake wa kike na anataka akubaliwe asipokubaliwa ni utata,ukimsaidia mwanamke njiani iwe ni kwa lift ya gari ama la utamtongoza,ukikaa na mwanamke kwenye daladala utataka kumtongoza,doctor atataka nesi awe ndio kipoza roho chake,kokote anakotembelea mwanamke ni kuitwa na kutongozwa tu!wanaume sisi jamani tujirekebishe mwanamke si chombo cha starehe kama wengi waaminivyo!japo haya yote hayafanywi na wanaume wote!ila sisi wanaume ni mashahidi wa haya mambo tusikatae hata kule buguruni tunakwenda kununua ila kahaba anabaki mwanamke lol!mabadiliko yaanze na sisi wanawake watafuata tu!
 
nasi ni binadamu tunajaribiwa kama wanavojaribiwa wengine
kwa hiyo isikushangaze..halafu,sote tunafundishwa kusamehe na neno la Mungu..
Masista huwa hamuuzi. Hasira ya nini? Nyie si ndo mnatufundisha tusameheane?
 
Wauzaji wanaojificha nyuma ya mwavuli wa mapenzi ni GHARAMA kubwa Finally dushelele hawalitaki kuliko wale NIPE NIKUPE!
 
nasi ni binadamu tunajaribiwa kama wanavojaribiwa wengine
kwa hiyo isikushangaze..halafu,sote tunafundishwa kusamehe na neno la Mungu..

Kujaribiwa siyo kuuza, sista Magdalena.
 
Ujumbe umefika,inaumiza kuona mwanamke ni chombo cha starehe..
 
Umeongea maneno mengi bi dada hebu kunywa maji kwanza.

MM-0016-09-MINALBA-25L.jpg

Nalog off

peleka biashara yako kwenye jukwaa la matangazo madomadogo na si kutumia huu uzi wewe!!
 
jf unapata kila kitu
it is a stress free zone
n a source of stress pia
ile thread imenitia hasira

Masista huwa hamuuzi. Hasira ya nini? Nyie si ndo mnatufundisha tusameheane?

nasi ni binadamu tunajaribiwa kama wanavojaribiwa wengine
kwa hiyo isikushangaze..halafu,sote tunafundishwa kusamehe na neno la Mungu..

Duhh itabidi tuwaombee sana sister mwallu,msije mkaanguka majaribuni,maana dunia itaisha!
 
Last edited by a moderator:
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
sister yule mleta mada kawaida yake kuropoka maneno machafu alikuja kwa ID yake iliyozoeleka akaomba msamaha eti amekuja kwa amani baada ya kula ban na kuwadhihaki mods, nilijua tu hajabadilika chochote ni vunga tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom