Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

simo na sihitaji kuwemo..huu muda si bora nije Facebook pub tujipatie moja moto moja baridi

Mwambie Rehema akupe mchemsho wa kuku wa kienyeji. mi kazi yangu kulipa tu. potelea mbali wakisema umeniuzia.
 
Who cares.....aliyeuziwa hajalalamika waje kulalamika wao....Rehema nishamshtua nikute mambo tayar
 
Nimesikitishwa sana hadi nimetoa machozi kwa hiki kilichokuwa kinaendelea kwenye uzi wa Wanawake wanajiuza.

Wanaume mnataka nini? Mmekosa hata staha kwa hao wachache mnaowajali mkabaki mnashabikia haya. Najua watakuwepo wa rika mbali mbali na mmeonyesha ushirikiano mzuri kweli. Mmeona mnayowafanyia humo vyumbani haitoshi mpaka mje kuanika u.p.u.m.b.a.f.u wenu hapa.
Haikutosha kutoa fedheha hizi kwenye vijiwe vyenu ambavyo sisi hatupo mkatuhabarisha na kutuweka katika madaraja.

Kuna mwanamke anakuwepo kwenye vikao vya kupanga mahari?
Kuna mwanamke anapenda yaliyomkuta yeye yamkute na bintiye?
Kuna kahaba anayefundisha mwanae wa kike kazi?
Ni wanawake wangapi wanalea watoto bila baba zao?
Wanajiuza ehh?

Mnatutukana nyumbani, vijiweni na humu pia.
Mnaendelea kushirikiana kudhalilisha utu wa wanawake.
Eti wanawake wanajiuza!

Si ni nyie kwa u.m.a.l.a.y.a wenu mnaoenda mnatafuta mabikra wachanga na kuwahadaa na vijimali vyenu, leo hawawezi sahau siku waliyotoa utu wao kwa wanaume waliodhani wanaheshimu. Mnasimama kusema wanajiuza.

Si ni nyie mmewazalisha wake zenu,mkisisitiza watoto waitwe kwa majina yenu hamjali familia zenu mnaondoka mnapeleka pesa kwa makahaba wawafanyie mnayotaka. Leo mnasema wanawake wanajiuza.

Si ni nyie mnaozalisha mabinti wa watu kwa hila za ahadi za ndoa halafu mnatelekeza watoto, mnadai siyo “wife material”. Kabla alikuwa malkia huyu, leo anajiuza.

Si ni nyie mnaita wake zenu m.a.l.a.y.a na pengine kuwapiga ngumi mkijificha kwenye sura ya “kichwa cha familia” halafu baadaye mkiwaletea watoto wa matunda ya ufuska wenu mkitaka wawalee, leo mnasema wanajiuza.

Si ni nyie mlio maofisini na vyuoni mnawajaribu wanawake waliobahatika kusoma mkitaka mlale nao ndo mwape stahili yao. Hao nao hujiuza!

Si ni nyie mnaogongana na watoto wenu mkishindana kuwatumia “mahousegirl” kama vyombo vya kujistarehesha bila gharama. Hii ni part time ehh?

Si ni nyie mnawabaka watoto wadogo pengine watoto wa ndugu zenu bila haya wakipata mimba mnawalazimisha kutoa mimba wangali vigoli. Wanajiuza hawa ehh?

Si ni nyie mnasema mnapenda huduma ya kikahaba na kuwalazimisha pengine wake wenu kushiriki mkiwatumia kinyume cha maumbile kukidhi haja zenu, eti akulidhishe kimapenzi. Hawa wameliwa kwa kujiuza,eeeh!

Si ni nyie mnaowafuata watoto wanaolingana na watoto wenu mnabebwa kwenye vifua vya watoto hawa bila aibu. Wanajiuza?

Si ni nyie mnawalaghai mabinti wanapiga picha za ngono. Picha hizo sura za mabinti hawa tu zinaonekana za kwenu huwa mnaficha. Malipo ya kujiuza hayo ehh?

Si ni nyie kwa tamaa zenu mnabaka hadi viumbe vingine ili mridhishe hamu zenu. Hapa bei sokoni iko juu ehh?

Si ni nyie mnaokaa vijiweni kutathimini ya nani tamu ipi hajaguswa mnawekeana dau kumpata bikra. Mpango wa kupata bidhaa adimu ehh?

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kama wazazi mmetuita m.a.l.a.y.a tungali wadogo wakati hatujui mtu mme, tumeshuhudia mkiwanyanyasa mama zetu kwa tabia zenu mbaya huku mkitaka wawape heshima tumekua katika jamii ambayo mwanamke si mtu ni bidhaa, wengine mmewachagulia maisha mkiwanyima hata elimu achilia kina sie tusiojua sura za baba zetu. Mnataka nini?

Naandika haya baada ya moyo wangu kushindwa kuvumilia kuendelea kutukanwa namna hii. Nakataa udhalilishwaji huu.

Ole wenu! Ole wenu! Ole wenu mnaojipa moyo kuwa wanawake wanajiuza na kuendelea kuwafanyia maovu.
.

Umeandika kwa hisia kali bila kushirikisha akili yako vizuri!!!!!
 
Wadada na wamama wa MMU sijui kwa nini mnahangaika na mwanaume ambaye mkewe tu kamtoa kamasi...

Kinachoendelea kwa yule bwana ni kuwa ndugu yetu yule anajaribu kumalizia frustrations zake kwa jinsia ya kike na kwa kuwa hana mahali pengine pa kutimiza azma yake hiyo basi victims pekee mmekuwa ninyi wadada wa MMU...

Jaribuni kuwa GT's kwa kujua aina ya watu mnao deal nao at a time...

Kwa thread kama ile kuwa kimya ni vyema kuliko kuvutana mashati...it won't change the person you're.

Ushahidi:
Jaribu kupitia threads zake zote zilizopita....
 
ile thread niliamua niipitie mbali

Binadamu wana makuzi tofauti,
Na dunia imewafunza tofauti,

Mambo mengine yanasikitisha lakini unamsamehe tu mleta mada, labda stress na ujinga wa vijiweni

Kiufupi ni wakuwaombea sana
 
Wadada na wamama wa MMU sijui kwa nini mnahangaika na mwanaume ambaye mkewe tu kamtoa kamasi...

Kinachoendelea kwa yule bwana ni kuwa ndugu yetu yule anajaribu kumalizia frustrations zake kwa jinsia ya kike na kwa kuwa hana mahali pengine pa kutimiza azma yake hiyo basi victims pekee mmekuwa ninyi wadada wa MMU...

Jaribuni kuwa GT's kwa kujua aina ya watu mnao deal nao at a time...

Kwa thread kama ile kuwa kimya ni vyema kuliko kuvutana mashati...it won't change the person you're.

Ushahidi:
Jaribu kupitia threads zake zote zilizopita....
Watu 8 umenena vyema nakumbuka alikuja chit chat na katopic ka kumponda Madame B kakafutwa akapotea na ID zake mbili karudi kasema amechange labda haya ndo mabadiliko
 
Last edited by a moderator:
bora tuwasamehe nahisi wameshajifunza. tukijiwezesha tunaweza....
 
Dada nimependa sana uzi wako wanaume ndivyo tulvyo kuwa kandamiza wanawkd.
 
Dada nimependa sana uzi wako wanaume ndivyo tulvyo kuwa kandamiza wanawke.
 
Usiwe na hasira wapo ambao hawana maswaiba hayo lakini ndo biashara na kazi yao hapa town! Nakuunga mkono kwa biashara hii wateja ni ss wanaume! Km tusingenunua biashara ingekufia mbali!
Nimesikitishwa sana hadi nimetoa machozi kwa hiki kilichokuwa kinaendelea kwenye uzi wa Wanawake wanajiuza.

Wanaume mnataka nini? Mmekosa hata staha kwa hao wachache mnaowajali mkabaki mnashabikia haya. Najua watakuwepo wa rika mbali mbali na mmeonyesha ushirikiano mzuri kweli. Mmeona mnayowafanyia humo vyumbani haitoshi mpaka mje kuanika u.p.u.m.b.a.f.u wenu hapa.
Haikutosha kutoa fedheha hizi kwenye vijiwe vyenu ambavyo sisi hatupo mkatuhabarisha na kutuweka katika madaraja.

Kuna mwanamke anakuwepo kwenye vikao vya kupanga mahari?
Kuna mwanamke anapenda yaliyomkuta yeye yamkute na bintiye?
Kuna kahaba anayefundisha mwanae wa kike kazi?
Ni wanawake wangapi wanalea watoto bila baba zao?
Wanajiuza ehh?

Mnatutukana nyumbani, vijiweni na humu pia.
Mnaendelea kushirikiana kudhalilisha utu wa wanawake.
Eti wanawake wanajiuza!

Si ni nyie kwa u.m.a.l.a.y.a wenu mnaoenda mnatafuta mabikra wachanga na kuwahadaa na vijimali vyenu, leo hawawezi sahau siku waliyotoa utu wao kwa wanaume waliodhani wanaheshimu. Mnasimama kusema wanajiuza.

Si ni nyie mmewazalisha wake zenu,mkisisitiza watoto waitwe kwa majina yenu hamjali familia zenu mnaondoka mnapeleka pesa kwa makahaba wawafanyie mnayotaka. Leo mnasema wanawake wanajiuza.

Si ni nyie mnaozalisha mabinti wa watu kwa hila za ahadi za ndoa halafu mnatelekeza watoto, mnadai siyo “wife material”. Kabla alikuwa malkia huyu, leo anajiuza.

Si ni nyie mnaita wake zenu m.a.l.a.y.a na pengine kuwapiga ngumi mkijificha kwenye sura ya “kichwa cha familia” halafu baadaye mkiwaletea watoto wa matunda ya ufuska wenu mkitaka wawalee, leo mnasema wanajiuza.

Si ni nyie mlio maofisini na vyuoni mnawajaribu wanawake waliobahatika kusoma mkitaka mlale nao ndo mwape stahili yao. Hao nao hujiuza!

Si ni nyie mnaogongana na watoto wenu mkishindana kuwatumia “mahousegirl” kama vyombo vya kujistarehesha bila gharama. Hii ni part time ehh?

Si ni nyie mnawabaka watoto wadogo pengine watoto wa ndugu zenu bila haya wakipata mimba mnawalazimisha kutoa mimba wangali vigoli. Wanajiuza hawa ehh?

Si ni nyie mnasema mnapenda huduma ya kikahaba na kuwalazimisha pengine wake wenu kushiriki mkiwatumia kinyume cha maumbile kukidhi haja zenu, eti akulidhishe kimapenzi. Hawa wameliwa kwa kujiuza,eeeh!

Si ni nyie mnaowafuata watoto wanaolingana na watoto wenu mnabebwa kwenye vifua vya watoto hawa bila aibu. Wanajiuza?

Si ni nyie mnawalaghai mabinti wanapiga picha za ngono. Picha hizo sura za mabinti hawa tu zinaonekana za kwenu huwa mnaficha. Malipo ya kujiuza hayo ehh?

Si ni nyie kwa tamaa zenu mnabaka hadi viumbe vingine ili mridhishe hamu zenu. Hapa bei sokoni iko juu ehh?

Si ni nyie mnaokaa vijiweni kutathimini ya nani tamu ipi hajaguswa mnawekeana dau kumpata bikra. Mpango wa kupata bidhaa adimu ehh?

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kama wazazi mmetuita m.a.l.a.y.a tungali wadogo wakati hatujui mtu mme, tumeshuhudia mkiwanyanyasa mama zetu kwa tabia zenu mbaya huku mkitaka wawape heshima tumekua katika jamii ambayo mwanamke si mtu ni bidhaa, wengine mmewachagulia maisha mkiwanyima hata elimu achilia kina sie tusiojua sura za baba zetu. Mnataka nini?

Naandika haya baada ya moyo wangu kushindwa kuvumilia kuendelea kutukanwa namna hii. Nakataa udhalilishwaji huu.

Ole wenu! Ole wenu! Ole wenu mnaojipa moyo kuwa wanawake wanajiuza na kuendelea kuwafanyia maovu.
.
 
Wadada na wamama wa MMU sijui kwa nini mnahangaika na mwanaume ambaye mkewe tu kamtoa kamasi...

Kinachoendelea kwa yule bwana ni kuwa ndugu yetu yule anajaribu kumalizia frustrations zake kwa jinsia ya kike na kwa kuwa hana mahali pengine pa kutimiza azma yake hiyo basi victims pekee mmekuwa ninyi wadada wa MMU...

Jaribuni kuwa GT's kwa kujua aina ya watu mnao deal nao at a time...

Kwa thread kama ile kuwa kimya ni vyema kuliko kuvutana mashati...it won't change the person you're.

Ushahidi:
Jaribu kupitia threads zake zote zilizopita....

kwelo best angu

ndo maana wengine huwa tunapita tu kwny baadhi ya nyuzi.
mtu ana stress zake huko, hana hela au kalizwa huko kitaa anakuja kumalizia hapa frustration zake.

ladies wala msijali wapo WANAUME wanaojitambua.

btw mzma best!!!?
 
Mie mzima Tina habari za uzima wako ?
 
Back
Top Bottom