Kweli airtel yatosha.

Nimetoka kuwapigia huduma kwa wateja muda huu,wamepokea wakawa hawaangaiki na mimi then baada ya muda wajakata,nikawapigia wakapokea na mhudumu anajifanya hanisikii. Akakata naye. Huu ni uhuni, mimi na wiki ya 3 sipati menyu ya yatosha.

Kwani upo wapi mkuu maana labda useme na hilo uweze saidiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom