Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Hii kwaya bado ipo,lakini haivumi kabisa kama zamani,walioimba hizo nyimbo nasikia wote waliisha rudi Burundi na awa waliopo walichukua ilo jina lakini wako butu sana.Hii kwaya nadhani waimbaji wake watakuwa ni watu wazima sana kwa sasa, niliwahi waona kwenye kipindi kimoja cha nyimbo za injili tayari walikuwa na umri umesogea kidogo. TUNAWASHUKURU SANA KWA NYIMBO ZAO NZURI AMBAO MPAKA LEO BADO ZINAENDELEA KUTUPA MAFUNDISHO.
1. Katika Viumbe VyoteKuna ule wimbo walikuwa wanaimba ''Mungu katuumba kwa mfano wake katutofausisha na vingine,katutofausisha na wanyamaa wasio na akili.................Huu wimbo title yake ni ipi?
Nyimbo nzuri! Ila ukumbuke bwana hakuwahi nena wazi wazi kuwa yeye ni mungu, na hakuna ushahidi kwamba wanafunzi wake walimuabudu
Ntapatia wapi kanda zao au cds za hizo nyimbo za zamani wakuu? ?
Kuna ule wimbo walikuwa wanaimba ''Mungu katuumba kwa mfano wake katutofausisha na vingine,katutofausisha na wanyamaa wasio na akili.................
Huu wimbo title yake ni ipi?
Ntapatia wapi kanda zao au cds za hizo nyimbo za zamani wakuu? ?