Eh nampenda nikazee fulani amazing anajichukuaUsiniambie bado unampenda 😝
Hapana ni baba yangu whyJina lako halisi linaanza na N?
Sipoi saivi nakunywa sumu msipo angaliaPole sana...
For what??Nichek pm
Wazee ndo wazuri wanajua kukuna..hongera shoo🤸♀️🤸♀️😀😀Eh nampenda nikazee fulani amazing anajichukua
Pole...bado yuko moyoni mwako ndo maana hata unamwanzishia thread hapa....ni mengi umeyakumbuka hakika usiku wa leo
Sipoi saivi nakunywa sumu msipo angalia
Sasa si kiuhalisia bado anakumbuka? Adi kumsemea mtu ambaye hayuko karibu naye ni kwamba amemkumbuka.......mi sjui moyo wangu ukoje ukishachoka! Kuna muda nasahau kama mume yupo na niko naye ndaniHizi kauli zinamumiza sana sema hamjui tu anataka sapoti ya mbere kwa mbere
mbona umefunga pm ?For what??
Acha uongoombona umefunga pm ?
Safi sana litupe kuleeeeKweli nimekusahau mie sijuickuomba,msamaha niliomba.
Sijui kulia nilia,sijui kusema i love u nilisema nilifanya,kila kitu ili urudi ila umegoma.
Sasa majuzi kati kweli nimekusahau nimefurahi kuwa kwa miaka yote kweli nimekusahau.
20000 ulinifanya nichizike ila huu mwaka kweli nimekusahau unajijua.