Kwasasa nimekusahau

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Kweli nimekusahau mie sijuickuomba,msamaha niliomba.

Sijui kulia nilia,sijui kusema i love u nilisema nilifanya,kila kitu ili urudi ila umegoma.

Sasa majuzi kati kweli nimekusahau nimefurahi kuwa kwa miaka yote kweli nimekusahau.

2019 ulinifanya nichizike ila huu mwaka kweli nimekusahau unajijua.

1625639784619.png

Jiwe gizani...ukisikia pwaaa basi jua ngeu tayari!

Kinafsiya nahisi kama bado unampenda huyo baharia. Hata leo hii akikugeukia kwa dhati safari inaanza upya.

Nahisi kama bado una maumivu kwenye baadhi ya kona zenye giza za moyo wako. Upe muda nafasi hatimaye uweze kuzifikia na kuzisafisha kona hizo chafu zilizobaki.

Time heals almost everything
 
Yaani nimembembeleza wapi ndio nilikuwa nahasira wapi kagoma
 
Kweli nimekusahau mie sijuickuomba,msamaha niliomba.
Sijui kulia nilia,sijui kusema i love u nilisema nilifanya,kila kitu ili urudi ila umegoma.
Sasa majuzi kati kweli nimekusahau nimefurahi kuwa kwa miaka yote kweli nimekusahau.
20000 ulinifanya nichizike ila huu mwaka kweli nimekusahau unajijua.
Aisee kama ni usaliti, hapo mwanaume rijali huwa hageuki nyuma
 
Jiwe gizani...ukisikia pwaaa basi jua ngeu tayari!

Kinafsiya nahisi kama bado unampenda huyo baharia. Hata leo hii akikugeukia kwa dhati safari inaanza upya.

Nahisi kama bado una maumivu kwenye baadhi ya kona zenye giza za moyo wako. Upe muda nafasi hatimaye uweze kuzifikia na kuzisafisha kona hizo chafu zilizobaki.

Time heals almost everything
Ila bado hatokiii
 
Back
Top Bottom