Kwasasa mapenzi siyo kipaumbele changu tena

Kwasasa mapenzi siyo kipaumbele changu tena

Nje ya mada,

Wanaume,naongea na wanaume sio wavulana,never beg for love,Mwanamke akitaka muachane,mkubalie hapo hapo,dakika hiyo hiyo,hata kama alikua anatania,ila wewe fanya iwe kweli,
Kumbembeleza Mwanamke abaki kwako,unaonekana huna option na atakudharau sana,

Mwanamke atampenda na kumuheshimu mwanaume ambaye anajiamini na anaogopa kumkosa coz hua habembelezi,

You should never force or plead for affection, care, or validation

Real relationships and respect flow naturally, and begging compromises your personal dignit.
Nimeuchukua kama ulivyo.
 
Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.

Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa

Mhurumie mwenzio...
 
Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.

Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa

Hamna Kitu hapo,
Wanawake ni viumbe vya Hisia Sana

Alicho kwambia ni mood yake ya wakati huo Lakini uhalisia baada ya Masaa kadhaa Anaweza akawa conscious na Mwanaume mwingine na Maisha yaka enda

Kamwe usi m judge mwanamke wa maneno yake judge vitendo.
 
Itakuwa ni kuchezewa tu na wanaume mbalimbali wenye fedha! Akichoka sasa ndiyo anaenda kwa Mwamposa kutafuta mwanaume wa miujiza.
Wacha tumsibiri 2031 alete uzi kuwa anatafuta mwanaume ambaye
-Atampenda yeye tu
-Mwenye kipato kizuri
-Asiye na mke ,mchepuko wala mtoto
-Mwenye umri wa miaka 30 hadi 35

Yeye yupo tayari kuwa mama wa familia na atakuwa mvumilivu.
 
Mapenzi ni utapeli. Hasa kwa hawa slay queens wasio na bikra.

Ukisikia hana hisia na wewe ujue huna pesa. Vijana tuwe makini, pesa zetu na afya zetu ni muhimu kuliko utelezi wa kununua rejareja kwa jina la Love.
 
Kuna mdau alliwahi kuomba tuachane, nikamkubalia kiroho safi. Miaka kadhaa mbele nikiwa nishavuta chombo kingine, yule aliyesema tuachane, anakuja tena. Eti anataka awe mchepuko wangu.

Nikabaki tu na mshangao naona hawa viumbe akili zao zinavyo navigate.
Hahahaha 🤣 Kuna single Maza wa Tanga mtoto mbichi aliwahi tu kuzalisha, nilikua NAMPENDA sana ACHA TU sasa badae nikagundua ana mawasiliano na jamaa alie zaaa nae, nikamkaushia mana nilijua lazima walee watoto, basi siku Moja nipo job mishemishe ikaingia text, Fulani mambo, nikajibi mwake, akadai nimekaa nimeona Nina watoto hivo nahitAji kufulia na wanangu basi Kwa kia hao si wanao pengine mnaweza msiishi nao vizuri, hivo NAOMBA tuachane, sasa Mimi nika muuliza hao watoto hata mi siwajui na sijawahi kuwaona na sijawahi kuwaongelea Wala Nini, shida ipo wapi sasa? Akadai ye ameona tu tuachane nikasema sawa Kwa heri.

Baadae tena zikaanza ingia text kibao za kudai alikua ananitania tu na kunipima hivo mi ndo mpendwa wake wa moyo, nilijibu usijaribu tuma tena text yoyote Kwa simu yangu marufuku, sasa kama unataka kunipima Iman tuma dadeki nijifunze adabu, weeee mpaka Leo alafu nili badili na laini badae nikasepa chuga sijui hata Yuko wapi
 
Back
Top Bottom