Hakuna mahala nimesema mimi ni mtaalamu. Acha kutafuta huruma out of your ignorance.Biblia haina mtaalam ndugu yangu
Kwan wewe ulikua unazungumzia lugha gani?Bible ya lugha gani mkuu?
Iwekeee hapaBible ya lugha ya kikurya
MKuu hiyo topic nyingine. Si uweke hapa tumalize utata mmoja, wapi imeandikwa Zambi kwenye bible ya lugha yoyote ike????Kwahiyo wewe huamini kuwa Steven inaweza kuwa stephano
Huna jibu una piga piga kona tu. Nenda zako bwanaHii sasa ndo shida ya watu mliozaliwa daslam na kukulia daslam
Ivi nikulize swali?
Huna ujualo mdogo angu, unatakiwa kujifunza sana.Shida yako wewe umekalili
Bible inatakiwa uielewe siyo uikalili
Bro wewe ushakwama tenaSasa wewe kijana mdogo namna hiyo unifundishe mimi juu ya kuwajibika? Una watoto wangapi kwanza tuanzie hapo!?