kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 968
- 2,441
Tumsifu YESU KRISTO
Hahaha 😁😂 mkuu hiyo ngoma ni tamu mno. Unafanya nimkumbuke pasta Mwiru AKA suti ya zege.Tumsifu Yesu kristo niwatikie maandalizi mema ya pasaka, na kumbukizi ya ijumaa kuu
Brother Hovering
Dr am 4 real PhD
makutupora & Bolotoba
Ndege Joni ntumie hela yangu usisahau ya pasaka secretarybird
Tujikumbushie kibao Cha lulu,
Yesu nipeleke kule kwa baba
Nikaishi nae kule mbinguni,
Kwenye mji wa lulu milango ya dhahabu,
Ooh ooh lulu ooh lulu nipo mbinguni,
Mmh mmmh kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu isio na mwisho kweli ni kama ni mmmh.....
Tunapoimalizia kwaresma kumbukizi nzuri sana hii 👇
Mateso yake bwana Yesu,
Yalikuwa ya taabu nyingi,
Lakini bwana wetu Yesu,
Aliyavumilia,
Alipokuwa msalabani,
Alifadhaika sana,
Akasema eloi eloi,
Yaani Mungu wangu, Mungu wangu mbona imeniacha,
Na saa tisa ilipofika Yesu alikata roho mara Nuru ikatoweka pakawa na Giza nene
Pasta Piusi Mwiru nilikuwa nampata vyema kupitia KBC Taifa sauti ni ya mkenya kila jumamosi kwenda jumapiliHahaha 😁😂 mkuu hiyo ngoma ni tamu mno. Unafanya nimkumbuke pasta Mwiru AKA suti ya zege.
Acha mkuu, yaani acha kabisa. Kipindi kilikuwa kinasindikizwa na ngoma ya "...ooh lulu, oooh lulu...."Pasta Piusi Mwiru nilikuwa nampata vyema kupitia KBC Taifa sauti ni ya mkenya kila jumamosi kwenda jumapili
Hakika kipindi hiko tuliitegea redio sikio......
Ni Mimi pasta Piusi Mwiru daah, nautamani ule wakati ndo haurudii Tena 😢 😢Acha mkuu, yaani acha kabisa. Kipindi kilikuwa kinasindikizwa na ngoma ya "...ooh lulu, oooh lulu...."
Ni ngori!
Amina babaTumsifu Yesu kristo niwatikie maandalizi mema ya pasaka, na kumbukizi ya ijumaa kuu
Brother Hovering
Dr am 4 real PhD
makutupora & Bolotoba
Ndege Joni ntumie hela yangu usisahau ya pasaka secretarybird
Tujikumbushie kibao Cha lulu,
Yesu nipeleke kule kwa baba
Nikaishi nae kule mbinguni,
Kwenye mji wa lulu milango ya dhahabu,
Ooh ooh lulu ooh lulu nipo mbinguni,
Mmh mmmh kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu isio na mwisho kweli ni kama ni mmmh.....
Tunapoimalizia kwaresma kumbukizi nzuri sana hii 👇
Mateso yake bwana Yesu,
Yalikuwa ya taabu nyingi,
Lakini bwana wetu Yesu,
Aliyavumilia,
Alipokuwa msalabani,
Alifadhaika sana,
Akasema eloi eloi,
Yaani Mungu wangu, Mungu wangu mbona imeniacha,
Na saa tisa ilipofika Yesu alikata roho mara Nuru ikatoweka pakawa na Giza nene
Njoo pm bas mkuuTumsifu Yesu kristo niwatikie maandalizi mema ya pasaka, na kumbukizi ya ijumaa kuu
Brother Hovering
Dr am 4 real PhD
makutupora & Bolotoba
Ndege Joni ntumie hela yangu usisahau ya pasaka secretarybird
Tujikumbushie kibao Cha lulu,
Yesu nipeleke kule kwa baba
Nikaishi nae kule mbinguni,
Kwenye mji wa lulu milango ya dhahabu,
Ooh ooh lulu ooh lulu nipo mbinguni,
Mmh mmmh kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu isio na mwisho kweli ni kama ni mmmh.....
Tunapoimalizia kwaresma kumbukizi nzuri sana hii 👇
Mateso yake bwana Yesu,
Yalikuwa ya taabu nyingi,
Lakini bwana wetu Yesu,
Aliyavumilia,
Alipokuwa msalabani,
Alifadhaika sana,
Akasema eloi eloi,
Yaani Mungu wangu, Mungu wangu mbona imeniacha,
Na saa tisa ilipofika Yesu alikata roho mara Nuru ikatoweka pakawa na Giza nene
Nilipe sifanyi kazi bure 😂Njoo pm bas mkuu
Umenena.Ni Mimi pasta Piusi Mwiru daah, nautamani ule wakati ndo haurudii Tena 😢 😢
Tutunze kumbukumbu for memories
Milele AminaTumsifu YESU KRISTO
Asante kwa kunikumbusha mkuuPambana ijumaa kuu isikupite mtumish
Kuna stesheni ya Citizens chemichemi ya ukweli unaijuaUmenena.
🙏🙏🙏🙏 Mkuu, barikiwa Sana Sanaa 😊 karibu pasaka. Kigamboni.Tumsifu Yesu kristo niwatikie maandalizi mema ya pasaka, na kumbukizi ya ijumaa kuu
Brother Hovering
Dr am 4 real PhD
makutupora & Bolotoba
Ndege Joni ntumie hela yangu usisahau ya pasaka secretarybird
Tujikumbushie kibao Cha lulu,
Yesu nipeleke kule kwa baba
Nikaishi nae kule mbinguni,
Kwenye mji wa lulu milango ya dhahabu,
Ooh ooh lulu ooh lulu nipo mbinguni,
Mmh mmmh kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu isio na mwisho kweli ni kama ni mmmh.....
Tunapoimalizia kwaresma kumbukizi nzuri sana hii 👇
Mateso yake bwana Yesu,
Yalikuwa ya taabu nyingi,
Lakini bwana wetu Yesu,
Aliyavumilia,
Alipokuwa msalabani,
Alifadhaika sana,
Akasema eloi eloi,
Yaani Mungu wangu, Mungu wangu mbona imeniacha,
Na saa tisa ilipofika Yesu alikata roho mara Nuru ikatoweka pakawa na Giza nene
Asante sana Kigamboni wapi ?🙏🙏🙏🙏 Mkuu, barikiwa Sana Sanaa 😊 karibu pasaka. Kigamboni.
Cheka.Asante sana Kigamboni wapi ?
Sorry nikipita njia ya mji mwema naingia na barabara ipi ?Cheka.