Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Na saa tisa ilipofika Yesu alikata roho mara Nuru ikatoweka pakawa na Giza nene
Hakika, tunapotakari kafara yake kristo na jinsi alivyokubali mwenyewe kuwa kafara tunapaswa kuakisi matendo yetu.

Ule ni zaidi ya upendo, zaidi ya huruma na nizaidi ya upendeleo.

Monetary doctor safi mdogo wangu kwa kutukumbusha kwa uchache uzito wa tukio na upendo wake Kristo.
 
Amina Amina ikawe pasaka yenye kubadilika na kuachana na ya kale tuvae utu upya.
 
Nikae vizuri 😂😂 unamjua Sanga ? Mzee shoo ?

Maninaa kumbe ukorofi umeuiga kutoka huko machame
Hahahaha 😂, mkuu yule mkuu wa shule sanga alikuwa aninikubali vibaya mno pia mpishi wetu Mzee shoo alikuwa ananipendelea sana kwani alikuwa ananijazia uji mwingi sana.

Aise nimewamisi wote, duh!
 
Back
Top Bottom