kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 968
- 2,441
Nawatakien nyote kwaresma njema
Tuwaombee Aman watu woteMyahudi anawabonda mpaka huruma
Amina ubalikiwe sanaTupo pamoja wakristo wote duniani, Bwana akawape hitaji lenu kipindi hichi cha mateso ya Bwana wetu yesu kristo
Tumebakiwa na siku chache sanaUsela usela nipunguze usela, maana ujana na usela ni kutia chumvi kwenye pera
Yes kaka nikipindi cha huruma hichi kama una kituo cha watoto yatima au wajane basi tuwatembelee kuwapa farajaAmina ubalikiwe sana
Tuwakumbuke wanaopitia mahangaiko kwa maombi yetu na wenye njaa pamoja na wahitaji tuwasaidie