Mtoto mhuni kweli yule, hata mm nilishangaa sana aliyokuwa akisema, hayakuniingia kabisa akilini moja kama mbili, mbili kama nne sikumwelewa kabisaBwana Habil and Kabil,alituchota sana..Sema mimi nilishashtukia utapeli wake mapema sana kabla hata hajapotea hewani nilishaacha kumchukua serious😀😀.
Bwana Habil and Kabil,alituchota sana..Sema mimi nilishashtukia utapeli wake mapema sana kabla hata hajapotea hewani nilishaacha kumchukua serious😀😀.
Asee, ukitafakari kiwango chake cha uwongo unashindwa kabisa kukipima, ni uhuni wa aina gani ule ,😁Dogo aliweza kwenda na trending sio mbaya hakuna aliyedhurika na uongo wake by the way.
Nilipenda jinsi anayatambua mambo mengi sana ya kiulimwengu napenda sana kuishi na watu kama wale.