Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,038
Kuna vikwapa dizaini badala ya kumvutia mwanaume vinamfukuzilia mbali, usiombe ukakutana navyo vya namna hiyo.Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.
Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?
Kuna vikwapa dizaini badala ya kumvutia mwanaume vinamfukuzilia mbali, usiombe ukakutana navyo vya namna hiyo.
duh kaka kweli unavutiwa na kwapa mie uwa kitovu cha mwanamke yaani nikipishana nae m/mke kitovu nje naweza hata kujikwaa kwa kuangalia ndio maana uwa nashinda kuangallia wacheza shoo wa Twanga na Ngwasuma napata burudani na kuona vitovu ndege wawili kwa jiwe mojaMimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.
Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?
mmh we mkali dahh.ata kwapa lenye nywele ndeeeeeefu zenye rangi kama kahawiaa au km imeota mv iv pia wapenda?:bowl:
Hahahaa...Umenikumbusha mabli sana broda... miaka hiyo praimari skuli..nlikuwa na kipande cha kioo... ticha mnoko wa kike akipita kukagua madaftari darasani..akilipita dawati la kwangu akaenda lialofuata..basi kioo kinapenyezwa chini kati ya miguu yake wakati yeye yuko bize na kusahihisha...nilivyokuwa navpiga chabo.....Siri yangu!!!
Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.
Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?
Siku akikutana na makwapa huo mchezo wake wa kupenda makwapa utamuishaWewe hujakutana na Makwapa, Hamu yako yote itakutokea puani.
Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.
Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?
Duh aisee nimecheka sana hapaWewe hujakutana na Makwapa, Hamu yako yote itakutokea puani.
Panda magari yanayoenda mbagala muda wa mchana kutokea feri theni simama katikati ya watu sitaji jinsia hapa then appetite ya kwapa itakuwa mwisho wake.
hivi tumewakosea nini sisi wa mbagala??kwanini usiseme panda daladala mchana....mpaka utaje mbagala.....