David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 928
- 1,798
Arusha kuna vumbi, mvua ikinyesha kuna tope balaa kiufupi huko walipaswa kukaa wanyama aridhi iko kama mbugaKi uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika
Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?
Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?
Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain
Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.