Kwanini Zanzibar ni maarufu ulaya na Amerika kuliko Tanzania wakati ni nchi moja?

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
7,910
2,000
Zanzibar tunaitangaza sana Kimataifa kama moja ya tourist destination, kama vile tunavyo tangaza Serengeti, mlima Kilimanjaro, na vivutio vingine.
Hatujawahi kutangaza Arusha, Moshi, Dar, Dodoma nk kama tourist destination ( kivutio)
Hata ukienda kwa jirani ukataja Mombasa au Malindi utakuta inafahamika sana
Hua inatangaziwa wapi?
 
kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,980
2,000
Hiyo inahusiana na mambo ya utalii, unaweza kuta kilwa inajulikana sana huko majuu kuliko Dar....
ni kweli wazungu wengi wamesoma hii miji darasani so wanataka kuja kuiona wazungu wengi wanapenda kwenda kilwa na zanzibar kwasababu ya history alafu balozi kalume alivyokua italy alijitaidi sana kuitangaza zanzibar ndio mana wanapata sana watalii toka italy na ndio mana vijana wengi wa zanzibar wanajifunza sana kitaliano ili kuhudumia soko hili
 
Resurrection

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
444
500
Ukikutana na Wanzazibar Nchi za kiarabu hawataki kabisa kujimbulisha ni Watanzania yaani wanajikuta na wao ni Ukoo wa Sulta

Ukikutana na Wanzazibar Nchi za kiarabu hawataki kabisa kujimbulisha ni Watanzania yaani wanajikuta na wao ni Ukoo wa Sultan
Sio uarabuni tu bali dunia yote tunajifakharisha kwa Zanzibar yetu sababu Zanzibar ni nchi ikiwa unashindwa kuwa Mtanganyika ss tunasema wazanzibari.
 
Resurrection

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
444
500
Si vyema kuhubiri ubaguzi mkuu
Sio ubaguzi ndio ukweli huyu Raisi Samia ni mwiba kwa Watanganyika hawampendi kabisa kabisa .Kuna Ramani ilitolewa kuna jengo kubwa linataka kujengwa Zanzibar litakuwa la pili katika afrika basi member mmoja hapa Jf likamtoka bora lingejengwa bara kama si roho mbaya bro kuna mambo mengi sana kwa kweli .
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
3,155
2,000
Niliwahi rudi dar kupitia zanzibar kutoka KIa.
Sikuamini 3/4 ya abiria walikuwa watalii walishuka Abied Karume airport.
 
Master Arcade

Senior Member
Apr 21, 2021
197
500
Sio ubaguzi ndio ukweli huyu Raisi Samia ni mwiba kwa Watanganyika hawampendi kabisa kabisa .Kuna Ramani ilitolewa kuna jengo kubwa linataka kujengwa Zanzibar litakuwa la pili katika afrika basi member mmoja hapa Jf likamtoka bora lingejengwa bara kama si roho mbaya bro kuna mambo mengi sana kwa kweli .
Huyo member aliyesema hivyo hana fikra njema kwa kuwa jengo hilo halitajengwa na serikali ya Tanzania bali watu wanawekeza so mwekezaji anaangalia mwenyewe wapi pa kuwekeza ili apate faida yake ..! Lakini pia nawe upaswi kuwa comment za kibaguzi kisa kuna watu wanafanya ubaguzi ...si vema kwa kuwa uovu huondoshwa kwa elimu na sio uovu mwingine.
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,972
2,000
Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika

Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?

Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?

Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain

Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Kwa utafiti wangu nilipokuepo Thailand kuna professor aliujua mlima Kilimanjaro na sio Tanzania
 
Nuzulati

JF-Expert Member
Nov 25, 2020
3,340
2,000
Ndio sasa nijibu natoka Tanga la wanyika ndio hatutaki muungano hiyo passport ni moja ya tatizo letu .
Utaki Muungano wewe na nani?Mfano Ukiolewa upo kwenye ndoa kisha una mhudumia mumeo vizuri huku unadai talaka unadhani Mume atakupa talaka.
 
Quaresma Fai

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
336
500
Ukweli mtupu. Watu Wengi wa wa nje nliokutana nao ukiwaambia nimetoka Tanzania utasikia, Had been in Zanzibar. Husikii Dar Wala Chato
ahaaa,
basi kumbe Tanzania pia inajulikana
umewatajia tanzani, wametaja zanzibar,
wameweza vipi ku 'link'?
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,529
2,000
Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika

Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?

Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?

Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain

Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Mkuu Zanzibar ilikuwa na uhusiano na USA toka 1837. Hivyo usishangae wao kujilikana kuliko Bara. Bara imeanza kuwa nchi miaka ya mwishoni mwa 1800 wakati huo Zanzibar ilikshakuwepo kama sovereign state toka 1400 huko
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,079
2,000
Soma Tarekhe ya ZANZIBAR Utajua maana yake. Ndio maana tunataka kujetanga na nyinyi Watanganyika munatupotezea malengo yetu , unaonekana mtoto mdogo sana wewe sisi ndio tumewafundisha nyinyi Watanganyika Ustarabu kama una babu yako hebu muulize Zanzibar ilikuwa vipi kabla 1964 na Tanganyika ilikuwa vipi. Wazanzibari tuna kila sababu ya kuukataa Muungano .

Umekwenda mbali sana hii ya juzi tu ya Nobel nina hakika Watanganyika inawauma na kuwakera sana sana lakini hamna la kufanya ( Alopewa kapewa tu naapa hapokonyeki)
Nina uhakika Zanzibar ikijitenga itakua kama Cape Verde Ila wajinga hawajui
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,079
2,000
Zanzibar tunaitangaza sana Kimataifa kama moja ya tourist destination, kama vile tunavyo tangaza Serengeti, mlima Kilimanjaro, na vivutio vingine.
Hatujawahi kutangaza Arusha, Moshi, Dar, Dodoma nk kama tourist destination ( kivutio)
Hata ukienda kwa jirani ukataja Mombasa au Malindi utakuta inafahamika sana
Chato vipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom