Kwanini Zanzibar ni maarufu ulaya na Amerika kuliko Tanzania wakati ni nchi moja?

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,302
2,000
Kwani Tanzania nzima kuna tourist destination moja tu Zanzibar? wakati mlima kilimanjaro ndo unaongoza barani Africa ila huwezi kusikia raia wa nje anataja Arusha au Moshi, lakini Zazibar itatajwa tu.
Zanzibar tunaitangaza sana Kimataifa kama moja ya tourist destination, kama vile tunavyo tangaza Serengeti, mlima Kilimanjaro, na vivutio vingine.
Hatujawahi kutangaza Arusha, Moshi, Dar, Dodoma nk kama tourist destination ( kivutio)
Hata ukienda kwa jirani ukataja Mombasa au Malindi utakuta inafahamika sana
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,118

Mfano wako sio wa kweli Nairobi ina umaarufu na mvuto nje ya Kenya kuliko mombasa au Malindi....jambo ambalo ni tofauti na Tanzania dhidi ya Zazibar ukiwa nje ya nchi Tanzania ni kama non existence tena mji mkuu Ddma ndo haujulikani kabisa.
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,479
2,000
Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika

Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?

Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?

Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain

Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Na Serengeti?
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,302
2,000
Mfano wako sio wa kweli Nairobi ina umaarufu na mvuto nje ya Kenya kuliko mombasa au Malindi....jambo ambalo ni tofauti na Tanzania dhidi ya Zazibar ukiwa nje ya nchi Tanzania ni kama non existence tena mji mkuu Ddma ndo haujulikani kabisa.
Ulikuwa nje Nchi gani au Mji gani?
kwani watu wapo nje kila mwaka ila hawajayaona hayo
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,489
2,000
Mods niwaombe uzi huu uhamishiwe jukwaa la historia Kule yupo Mzee wangu Mohammed Said anaweza kuja na uchambuzi mujaarab kabisa
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
58,460
2,000
Mji wa kihistoria .....

Kuna fukwe nzuri+Hotel ...

Ni vzr wabongo wakawa na utamaduni wa

Kwenda kutembelea sehemu kama hizo

Sasa utakuta mtu kapata liking yeye kila siku anashinda Juliana,kidimbwi,tipsy

Ova
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,590
2,000
Ilifanywa makusudi wakati wa kuungana, Nyerere hakutaka Zanzibar ipoteze asili yake lakini alitegemea vizazi vya wazanzibar vinavyokuja vingeona manufaa ya muungano vingedai tuwe nchi moja lakini kadri tunavyoendelea wanazidi kujiona waoman
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,118
2,000
Wazanzibar ni the biggest diaspora per capita.....

Bara hakuna mtu anaekaa Ulaya hata mmoja,tupo Bongo tu mpaka tunakufa!
Umeongea point kabisa kwa maana hiyo wazazibar wameiuza zazibar yao wenyewe sio suala la utalii au fukwe ni bidii yao kuelewesha ulimwengu kwamba kuna nchi inaitwa zazibar na inatawaliwa kimabavu.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,118
2,000
Sababu ni moja tu. full stop
Sababu Zanzibar ni kisiwa, huko ulaya nako wanajifunza Geography ni visiwa ni moja ya masomo wanayojifunza. No other reason hakuna cha utalii wala nini
Kwani Ukelewe mafia nk sio visiwa kwanini havijulikani kama zazibar inavo funika Tanzania bara
 
Master Arcade

Senior Member
Apr 21, 2021
197
500
Soma Tarekhe ya ZANZIBAR Utajua maana yake. Ndio maana tunataka kujetanga na nyinyi Watanganyika munatupotezea malengo yetu , unaonekana mtoto mdogo sana wewe sisi ndio tumewafundisha nyinyi Watanganyika Ustarabu kama una babu yako hebu muulize Zanzibar ilikuwa vipi kabla 1964 na Tanganyika ilikuwa vipi. Wazanzibari tuna kila sababu ya kuukataa Muungano .

Umekwenda mbali sana hii ya juzi tu ya Nobel nina hakika Watanganyika inawauma na kuwakera sana sana lakini hamna la kufanya ( Alopewa kapewa tu naapa hapokonyeki)
Si vyema kuhubiri ubaguzi mkuu
 
silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
820
1,000
Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika

Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?

Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?

Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain

Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Zanzibar ni taifa lenye historia kubwa sana tokea Karne na Karne, hio Tanganyika ilikua ni sehemu ya Zanzibar,
 
Pabloz

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
694
1,000
Mfano
Hawaii is more popular than a majority of state in the US
Kuna watu wengi hawajui kama kisiwa cha Hawaii kipo USA
 
silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
820
1,000
Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika

Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?

Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?

Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain

Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Zanzibar ni taifa lenye historia kubwa sana tokea Karne na Karne, hio Tanganyika ilikua ni sehemu ya Zanzibar,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom