Zanzibar tunaitangaza sana Kimataifa kama moja ya tourist destination, kama vile tunavyo tangaza Serengeti, mlima Kilimanjaro, na vivutio vingine.Kwani Tanzania nzima kuna tourist destination moja tu Zanzibar? wakati mlima kilimanjaro ndo unaongoza barani Africa ila huwezi kusikia raia wa nje anataja Arusha au Moshi, lakini Zazibar itatajwa tu.
Mfano wako sio wa kweli Nairobi ina umaarufu na mvuto nje ya Kenya kuliko mombasa au Malindi....jambo ambalo ni tofauti na Tanzania dhidi ya Zazibar ukiwa nje ya nchi Tanzania ni kama non existence tena mji mkuu Ddma ndo haujulikani kabisa.Zanzibar tunaitangaza sana Kimataifa kama moja ya tourist destination, kama vile tunavyo tangaza Serengeti, mlima Kilimanjaro, na vivutio vingine.
Hatujawahi kutangaza Arusha, Moshi, Dar, Dodoma nk kama tourist destination ( kivutio)
Hata ukienda kwa jirani ukataja Mombasa au Malindi utakuta inafahamika sana
Na Serengeti?Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika
Ukiwa na rafiki wa kutoka je ya nchi mkakutana kwenye ndege au uwanja wa ndege uki jitambulisha kwamba unatoka Africa mashariki, tegemea responce yake kama hi: "last year I visted the island of zazibar", ua atakuuliza "have you ever been in at the Island of Zanzibar"?
Zenji ni kama utambulisho wa Africa mashariki, na ni vigumu Mzungu/raia wa nje kukuuliza eti have you ever visited Dodoma au Shinyanga kwa nini?
Ni kama unavoona Britain inasikika kuliko Wales, Ireland na Scotland wakati wote wako ndani ya muungano wa United kingdom (UK) ndo maana mpaka leo Northern Ireland inataka kujitenga inaona kuna unfair game kwake kutoka Britain
Kwanini Zanzibar ifunike Tanzania wakati kila kitu inaizidi Zanzibar hiyo ni fair kweli? au Watanganyika wametanguliza siasa kila jambo ndo maana hata hawauziki nje ya Nchi.
Ulikuwa nje Nchi gani au Mji gani?Mfano wako sio wa kweli Nairobi ina umaarufu na mvuto nje ya Kenya kuliko mombasa au Malindi....jambo ambalo ni tofauti na Tanzania dhidi ya Zazibar ukiwa nje ya nchi Tanzania ni kama non existence tena mji mkuu Ddma ndo haujulikani kabisa.
Umeongea point kabisa kwa maana hiyo wazazibar wameiuza zazibar yao wenyewe sio suala la utalii au fukwe ni bidii yao kuelewesha ulimwengu kwamba kuna nchi inaitwa zazibar na inatawaliwa kimabavu.Wazanzibar ni the biggest diaspora per capita.....
Bara hakuna mtu anaekaa Ulaya hata mmoja,tupo Bongo tu mpaka tunakufa!
Kwani Ukelewe mafia nk sio visiwa kwanini havijulikani kama zazibar inavo funika Tanzania baraSababu ni moja tu. full stop
Sababu Zanzibar ni kisiwa, huko ulaya nako wanajifunza Geography ni visiwa ni moja ya masomo wanayojifunza. No other reason hakuna cha utalii wala nini
Si vyema kuhubiri ubaguzi mkuuSoma Tarekhe ya ZANZIBAR Utajua maana yake. Ndio maana tunataka kujetanga na nyinyi Watanganyika munatupotezea malengo yetu , unaonekana mtoto mdogo sana wewe sisi ndio tumewafundisha nyinyi Watanganyika Ustarabu kama una babu yako hebu muulize Zanzibar ilikuwa vipi kabla 1964 na Tanganyika ilikuwa vipi. Wazanzibari tuna kila sababu ya kuukataa Muungano .
Umekwenda mbali sana hii ya juzi tu ya Nobel nina hakika Watanganyika inawauma na kuwakera sana sana lakini hamna la kufanya ( Alopewa kapewa tu naapa hapokonyeki)
Nilimskia tekno kwenye nyimbo yake"do you like Zanzibar or Toronto",ee si angepataja uku kwenu nanjilinji
Ukelewe kipo bahari gani vile???Kwani Ukelewe mafia nk sio visiwa kwanini havijulikani kama zazibar inavo funika Tanzania bara
Zanzibar ni taifa lenye historia kubwa sana tokea Karne na Karne, hio Tanganyika ilikua ni sehemu ya Zanzibar,Ki uhalisia kwa watu ambao tumeishi katika mataifa mbalimbali Zanzibar ni maarufu na inajulikana kuliko jina la Tanzania au Tanganyika