Kwanini Zanzibar hakuna Stock Exchange?

Kwanini Zanzibar hakuna Stock Exchange?

Sio rahisi hivyo. Bila makampuni ya biashara, hamna stock exchange. Makampuni yetu mengi ni madogo na ya kifamilia. Kwa saba
bu hiyo wengi wasingependa kuyaweka kwenye Stock Exchange kwa sababu mwenendo wake wote unatakiwa kuwa wazi.

Amandla...


Huwezi jua kama yapo hadi uanzishe kwanza..
Hata huku Bara hakuna aliejua inawezekana Hadi ilipoanzishwa
 
Nina jaribu kufikiria kwa nini Scotland na Wales hawana Stock exchange yao.
Na kwanini inaitwa London Stock Exchange!
 
Hivi DSE inapata faida?
Ziko kampuni ngapi za Zanzibar ambazo zipo DSE sasa hivi?
 
Huwezi jua kama yapo hadi uanzishe kwanza..
Hata huku Bara hakuna aliejua inawezekana Hadi ilipoanzishwa
Unaanzisha kutokana na uwepo na hayo makampuni na sio vice versa. Kama hayaonekani basi hayapo. Bara uwepo wa makampuni ya bia, sigara, simenti n.k. ndio kulikofanya stock exchange kuwa viable. Makampuni hayo hayakuanzishwa baada ya stock exchange kuanzishwa.

Amandla...
 
Uchumi wenu wa kulima mihogo na michicha ndio mnataka stock exchange market!!?
are you mad?
 
Stock exchange sio lazima iwe for locals only
Inaweza kuwa ya kukaribisha international investors pia
Wangechukua mfano wa London Stock Market, au NYSE na masokonmengine, wao wanadeal kuuza stock za makampuni ya dunia nzima it's a matter ya kupeleka stock ziwe listed pale na wanaonunia pia wanatoka dunia nzima.
 
Unaanzisha kutokana na uwepo na hayo makampuni na sio vice versa. Kama hayaonekani basi hayapo. Bara uwepo wa makampuni ya bia, sigara, simenti n.k. ndio kulikofanya stock exchange kuwa viable. Makampuni hayo hayakuanzishwa baada ya stock exchange kuanzishwa.

Amandla...
Not necessarily makampuni ya ndani ya nchi. Suala ni ushawishi na ukubwa wa soko kuweza kuvutia makampuni makubwa kuja kulist stock zao hapo.
 
Not necessarily makampuni ya ndani ya nchi. Suala ni ushawishi na ukubwa wa soko kuweza kuvutia makampuni makubwa kuja kulist stock zao hapo.
Hapana. Hauwezi kuwa na stock exchange ya makampuni yasiyokuwepo nchini peke yao. Hatuzungumzii off shore facilities hapa bali stock exchange.

Amandla...
 
Wangechukua mfano wa London Stock Market, au NYSE na masokonmengine, wao wanadeal kuuza stock za makampuni ya dunia nzima it's a matter ya kupeleka stock ziwe listed pale na wanaonunia pia wanatoka dunia nzima.

Exactly my point
 
Wale TENDE EXCHANGE inawatosha.

Zanzibat ni soko kuu la tende baada ya Saudia na UAE
 
Hapana. Hauwezi kuwa na stock exchange ya makampuni yasiyokuwepo nchini peke yao. Hatuzungumzii off shore facilities hapa bali stock exchange.

Amandla...
Well, namaanisha makampuni ya TZ yatakuwepo lakini sababu ni machache wasiogope hilo sababu watapata na makampuni ya nje Cha muhimu ni kuweka policy nzuri.
 
Well, namaanisha makampuni ya TZ yatakuwepo lakini sababu ni machache wasiogope hilo sababu watapata na makampuni ya nje Cha muhimu ni kuweka policy nzuri.

Hivi ni makampuni ya nje mangapi yamekuwa listed DSE ambayo hayana matawi yake Tanzania?

Amandla...
 
Mimi nawashangaa tu ni kwa nini wamepunguza kasi ya kudai Uhuru kamili wa nchi yao? Au ndiyo wamenogewa na karanga za kuonjeshwa?

Maana kwa sasa wanafurahia kweli kugawana mapato ya Muungano, nk!! Badala ya kupigania Mamlaka kamili ya Nchi yao.
Adui wa taifa
Risasi moja ya utosi inakufaa
 
Watu wenyewe hata milioni mbili hawafiki, stock exchange? Uchumi wao upo chini, pamoja na kelele zote wazenji ni masikini kuliko bara pamoja na kwamba wengi wenye uwezo wamechumia bara na arabuni. Wanahitaji msaada tu wa kufunguliwa akili wajue wanafaidika kuwa nasi.
Mbona hong kong, singapore wana masoko ya hisa
 
Sio rahisi hivyo. Bila makampuni ya biashara, hamna stock exchange. Makampuni yetu mengi ni madogo na ya kifamilia. Kwa sababu hiyo wengi wasingependa kuyaweka kwenye Stock Exchange kwa sababu mwenendo wake wote unatakiwa kuwa wazi.

Amandla...
Kazi ndogo sana
Kwa kuanza tu pbz, zssf na kampuni yao ya umeme na makampuni mengine ya bara yanaweza kujilist
Ni kawaida kampuni moja kuwa katika zaidi ya soko moja
 
Kazi ndogo sana
Kwa kuanza tu pbz, zssf na kampuni yao ya umeme na makampuni mengine ya bara yanaweza kujilist
Ni kawaida kampuni moja kuwa katika zaidi ya soko moja

Benki na pension funds hazijiandikishi kwenye stock exchange, wao wanaweza kununua na kuuza hisa tu kama investors. Kampuni za serikali ( ambazo serikali inamilki asilimia 100) nazo hazijiandikishi kwenye stock exchange unless serikali imeamua kuzibinafsisha kwa kutangaza uuzaji wa zaidi ya asilimia 50 ya hisa zake. Makampuni ya bara hayawezi kulazimishwa kujiandikisha kwenye stock exchange yeyote kama wanaona hamna maslahi. Na makampuni yatafanya hivyo pale tu ambapo patakuwa na investors wa kutosha Zanzibar na hivyo kuongeza mtaji wao.
Sio kawaida bali haikatazwi kwa kampuni moja kuwa listed katika zaidi ya soko moja maana kuna gharama zinazoambatana na kujiandikisha.

Amandla...
 
Hivi ni makampuni ya nje mangapi yamekuwa listed DSE ambayo hayana matawi yake Tanzania?

Amandla...

What Happens If Chinese Firms Are Kicked Out Of The U.S. Stock Market​

An important battle is developing between U.S. financial regulators and their Chinese counterparts. At stake are hundreds of Chinese public companies with over one trillion dollars worth of shares trading in the U.S. that are threatened with “delisting” from U.S. stock markets. That is, they may be kicked off the New York Stock Exchange and NASDAQ. The headlines have it that the Chinese companies have cheated, somehow. Colluding with Beijing, and helped by the inadvertence of U.S. regulators, they have evaded and avoided compliance with regulations that apply to all American public companies, to almostall foreign companies except the Chinese, and which should apply to the Chinese firms trading on exchanges here. And to say that they “should apply” is not to state a goal or an aspiration; it is a straight reading of settled U.S. law. The rhetoric is fierce – there are “rogues” and “frauds” and “no level playing field,” and “billions in losses for American investors,” and of course lots of “China this and China that” - as here, from a joint press release last year by two leading U.S. Senators (Rep & Dem):

  • “‘The current failure of China to comply with our laws and play by the same rules as everyone else puts American investors and the credibility of our markets at risk…’ the senators write. ‘The fact that China stands alone in its noncompliance is yet another example of how it fails to play by the same rules as other countries. China’s failure to comply with our disclosure laws has already impacted investor confidence and the integrity of our financial markets.’”


A complication in this story involves the changing situation in Hong Kong — for now still the world’s third largest financial market – but under threat from Beijing’s new security laws. In the back and forth debate between the Cassandras predicting Hong Kong’s impending loss of its status as a premier financial center, and the purveyors of Hong Kong Happy Talk who see only a brighter future for the city under the CCP, one emerging theme is the idea that “delisting” Chinese companies in the U.S. will drive them all to “secondary listing” in Hong Kong – with gobs of moneyfalling out of the South China skies. Even those who should know better are caught up in the merry outcry:

  • “Delisting…would be a victory for Hong Kong, post-National Security Law. The market, increasingly Chinese-dominated, would welcome the additional hundreds of billions of dollars in market capitalization that U.S.-listed Chinese companies could bring.”


This is fantasy. The consequences of a mass delisting of Chinese companies here – if it comes to that – will cost these firms, and China, and Hong Kong, dearly. But to understand why, and what this really means, we need to step back and ask basic questions:

NATAKA NIKUONYESHE KWAMBA MAKAMPUNI YA NJE YANAWEZA KULIST KWENYE STOCK EXCHANGE BILA HAYO UNAYOSEMA.

STOCK ZINAUZWA NCHI AMBAYO SOKO LIPO SIO NCHI AMBAYO KAMPUNI IPO REGISTERED. CHA MUHIMU KUNA PROCESURES ZA KUFATA.
 
Hili la stock exchange halihitaji hata kudai.

Hakuna sheria inazuia
Wakiwa na stock ni kampuni zipi za Zanzibar zitakazo qualify kuwa listed? Labda uorodheshe walau kampuni tano za Zanzibar zitakazokuwa na vigezo ndipo tujadili
 
Seirikali ya Zanzibar hawaruhusiwi kuuza Bond au kuuza hisa wala hairuhusiwi kuomba mikopo nje.
Wakita lbda wachukue Branch ya Dar DSE wapeleke visiwani.

Lazima waanze na katiba ndipo wawehuru kufanya maamuzi yao
 
Back
Top Bottom