Kwanini wengine hushika nyeti zao ujambishapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wengine hushika nyeti zao ujambishapo?

Discussion in 'JF Doctor' started by Paul S.S, Jul 24, 2010.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Jul 24, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi baada ya kazi kuna sehemu napenda kubarizi kwa moja baridi, hiyo sehemu kuna mzee sio sana, vijana wanapenda ku mchezea kwa kujambisha (kubana midomo kwa mikono kisha kupuliza nakutoa mlio kama mtu kajamba), basi huyo mzee huweweseka kweli na kuwa mkali kweli, na kila anapofanyiwa hivyo huinama na kushika sehemu zake nyeti.
  Je huu ni ugonjwa au ni nini?
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wazee wa mabusha siju!? hiyo hata huko niliko iko sana yani!
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  inawezekana wenye mabusha wakifanyiwa hivyo huweweseka, maana hata huyu ninaye muongelea anaonekana analo, laikini inakuwaje kitaalamu zaidi?
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wataalamu hebu tusaidieni, hivi vitu vina uhusiano gani?
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  huo ni ujinga tu na hasa uko maeneo ya pwani ya Dar, Zenji, BYO, Tanga, Mombasa na Lamu, sina uhakika sana na pwani ya kusini ya Tanzania,
  kwa tuliokulia hayo maeneo hao jamaa waitwa MABASHA, yaani kazi yao ni kuwala Tigo wanaume wenzao (Mabwabwa, mashoga, Mafaruku na watu kama hao),
  sasa hapa kinachosemekana ni kuwa wakati anakula TIGO huyo anayel;iwa huwa anajamba sana, kwa hiyo huyo mlaji "Basha" anakuwa amezoea hiyo milio ya mijamb* na ndio sasa wakimjambisha mtaani hisia zake zinarudi kama anakula Tigo vile na anakimbilia kushika nyeti zake,
  sina experience na hayo mambo lakini ni hear say tu labda kama kuna wanaofahamu zaidi
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mmmh hii kali, kweli tembea uone
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mwinyiiiiiiiiiiii....Unataka kukimbia kivuli chako...subiri usiku dah....kusoma kwingi kujua mengi...this is fantastick maelezo..dah....inabidi niifanyie thesis hii.
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  thesis ya nini Mwinyiiii, hiyo ndio habari pwani kuna mengi mkuu,
  hivi Boflo yupo wapi siku hizi angeweza kutupa mengi yule kijana wa Ilala
   
Loading...