Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,718
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?

Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto

Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
 
IMG-20251224-WA0193.jpg
 
Mbona mimi niliweza nikaweka GG kwenye kubet na mtoto yupo familia yetu.
 
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?

Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto

Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Sheria za maelezo kutoka kwa mabeberu hizo ... hata sheria za ubakaji ni muongozo wao ndiyo maana zinamdidimiza mtoto wa kiume badala ya kutazama logic ....ubakaji kingono ni kitendo cha kumwingilia mwanamke au mwanaume kinguvu au kwa vitisho ila sisi waafrica tumetungiwa sheria na mabeberu za ajabu kuhusu ubakaji lengo ni kuongeza maanithi ... mvulana akivuja miaka 25 bila ya kusex tayari huyo atakuwa na shida ya nguvu za kiume kisaikolojia kulingana na dunia ya sasa
 
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?

Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto

Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Sheria za tz zinawa-favour sana wanawake,Tena hizo Sheria zimetungwa na midume
 
Hapo hakuna usawa hawaja balance , mpka mifarakano itokee ujue kuna tabia hazipo sawa kwa mmoja wapo . Inaweza ikatokea mwanamke ni chenga mwanaume anaogopa hata kumuachia watoto
 
Sheria za maelezo kutoka kwa mabuburu hizo ... hata sheria za ubakaji ni muongozo wao ndiyo maana zinamdidimiza mtoto wa kiume bola ya kutazama logic ....ubakaji kingono ni kitendo cha kumwingilia mwanamke au mwanaume kinguvu au kwa vitisho ila sisi waafrica tumetungiwa sheria na mabeberu za ajabu kuhusu ubakaji lengo ni kuongeza maanithi ... mvulana akivuja miaka 25 bila ya kusex tayari huyo atakuwa na shida ya nguvu za kiume kisaikolojia kulingana na dunia ya sasa
Shida ya kwetu wana copy na ku paste sana sheria za wazungu ... kuna mambo yanayakiwa yawe na usawa kwa faida ya jamii
 
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?

Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto

Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Ukiwa hujabeba mtoto tumboni miezi 9 na uzazi ukafanya permanent damage kwenye mwili wako hautaelewa.

Sheria inampa mama nafasi zaidi hasa kwenye miaka 7 ya mwanzo ya maisha ya mtoto kwa sababu yeye ndiye anabeba mzigo mkubwa zaidi kwenye kubeba mimba na kumhudumia mtoto kwenye miezi na miaka yake ya kwanza duniani (kunyonyesha na kulea).

Mwanaume atapewa haki ya malezi ya mtoto mdogo, endapo tu mama anakua si salama kwa mtoto au hamtaki mtoto, na uamuzi wa mwisho hufanywa na mahakama.
 
Back
Top Bottom