pole mkuu maana kuna watu kwa kulazmisha uchokozi hawajambo
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Mkuu,Wazanzibar wanauelewa mkubwa sana kwenye somo la uraia,na historia ya kisiwa chao japo kuwa upotoshaji pia umejaa.Nadhani madrasa inamchango mkubwa sana katika hili la kuwafanya wajitambue mapema sema unafiki na usaliti wa wanasiasa wazanzibar ndo unaufanya muungano uwepo.Roho imeniuma uliposema watoto wadogo miaka hiyo wameshajua kero za muungano ila cha kushangaza mpaka sasa hawafanikiwi tu kutwaa mamlaka kamili yaliyotwaliwa na tanganyika.
Ngoja niwajuze sababu halisi ya asilimia kubwa ya wanzazibari kukosa vichogo.Asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na kwa wanawake huwa wanaswali. Mwanamke sio tu wa kizanzibari bali wa kiislamu kuwa na mimba sio sababu ya kumfanya asiende msikitini kuswali au hata kuswalia nyumbani.hivyo basi wanawake wa kizanzibari wanapokuwa na mimba wanaswali mpk pale hali itakapokuwa haimruhusu kabisa.kitendo hicho hupelekea mgandamizo katika mfuko wa uzazi wenye mtoto kwa sababu ya kuinama (kurukuu) na anapokwenda kusujudu (sijda).kwa siku ni swala tano na kwa sababu ni kitendo cha kilasiku ndio hiyo hali hutokea.
Mkuu
Mbona hata bara waislamu swala tano wapo na wananasa mimba na kuzaa watoto wenye visogo mchongoko?
Huko Zenji unajulikana kuwa si Mzanzibari na kuitwa chogo.
Wao mtoto akizaliwa wanamkanda kwa kutumia mfuko wenye mchanga kisogo na ndo maana wanakuwa na chogo bapa. Ni sehemu ya utamaduni wao.
sawa mkuuUsijali Mkuu, JF ni paradise! Tunakutana na mengi hapa!
aisee mkuu.hembu tuambie wanazifanyaje mpk zinakuwa hivyo.siri ya urembo tafadhali.
Kwann wanawake wa KICHAGA wapo kama mchi, wamechongoka huku chini lakini vifuani kama wananyonyesha magereza
I love JF,,naipenda sana hii forum.
Ngoja niwajuze sababu halisi ya asilimia kubwa ya wanzazibari kukosa vichogo.Asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na kwa wanawake huwa wanaswali. Mwanamke sio tu wa kizanzibari bali wa kiislamu kuwa na mimba sio sababu ya kumfanya asiende msikitini kuswali au hata kuswalia nyumbani.hivyo basi wanawake wa kizanzibari wanapokuwa na mimba wanaswali mpk pale hali itakapokuwa haimruhusu kabisa.kitendo hicho hupelekea mgandamizo katika mfuko wa uzazi wenye mtoto kwa sababu ya kuinama (kurukuu) na anapokwenda kusujudu (sijda).kwa siku ni swala tano na kwa sababu ni kitendo cha kilasiku ndio hiyo hali hutokea.
kwani na wewe una chogo
Nimesoma na wazanzibar wasiopungua 9 since primary mpaka secondary,ni kweli hawana kabisa visogo na wote walikuwa vilaza wa kutupa kwenye masomo sasa sijui kuna uhusiano Kati ya hivyo vitu viwili.
Kali kuliko ni kwamba madogo walikuwa wanazijua Kero za muungano tukiwa darasa la pili lakini Multiplication table hata ya 2 chalii.