Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Ni taifa takatifu la Mungu,makuhani wa kitume na warithi wa ufalme wa Mungu duniani na Mbinguni.....Mungu anawapenda na kuwalinda...tabia zao zinaonyesha kuna kitu kisicho cha kawaida wanajivunia,nacho ni agano lao na Mungu! Atakaewalaani na Mungu atamlaani....
 
Inawezekana mazingira yanaruhusu kugundua mkuu na sio lazima IQ iwe sababu kuu!!!!!
Ndio maana niliomba IQ list mkuu ili nione mimi na wengine

Mimi naangalia innovations, hayo mambo ya kujiandikia bila kuona impact hapana. Nani alifanya utafiti wa IQ?, mimi naangalia watu wao wamefanya nini
 
Mimi naangalia innovations, hayo mambo ya kujiandikia bila kuona impact hapana. Nani alifanya utafiti wa IQ?, mimi naangalia watu wao wamefanya nini

Ok sawa tuache IQ twende na ugunduz!!!!!
Naomba gunduzi za nchi nyingine ili tuweze kuwa na ulinganishi katika hili moja na kuona ulivyofikia jumuisho lako
 
Ni taifa takatifu la Mungu,makuhani wa kitume na warithi wa ufalme wa Mungu duniani na Mbinguni.....Mungu anawapenda na kuwalinda...tabia zao zinaonyesha kuna kitu kisicho cha kawaida wanajivunia,nacho ni agano lao na Mungu! Atakaewalaani na Mungu atamlaani....

Ni agano lipi mkuu
 
Hivi ugunduzi ndio IQ kubwa?????!!!!
Na list ya mataifa mengine please ili tupate comparison nzuri mkuu!!!!!

Wayahudi ni wateuli na wabarikiwa wa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.Mafanikio ya jamii hutokana na baraka za Mungu wanaomuabudu.Mafanikio ya Wayahudi yamezalisha wivu na chuki kutoka kwa wengine
 
Ok sawa tuache IQ twende na ugunduz!!!!!
Naomba gunduzi za nchi nyingine ili tuweze kuwa na ulinganishi katika hili moja na kuona ulivyofikia jumuisho lako

Kubishana juu ya ugunduzi wa hawa jamaa hata dunia inakushangaa. Kwanza population ndogo, pia wameishi kwa kutangatanga, pamoja na hayo impact yao imeonekana
 
Wayahudi si watu wazuri,ni wakatiri,dharau,kebehi kujiona wao ndo bora,wezi,majigambo,etc.
Hawa jamaa hata mungu wao walimsumbuaga sana wakati anawatoa misri utumwani kwenda nchi ya caanan.

lazima wawe hvyo mana wameufanya ulimwengu kwa kiasi kikubwa kucha tamadun zake na kukimbilia za kwao wayahud
 
Ok sawa tuache IQ twende na ugunduz!!!!!
Naomba gunduzi za nchi nyingine ili tuweze kuwa na ulinganishi katika hili moja na kuona ulivyofikia jumuisho lako
naona mkuu leo umeamuwa kufurahisha baraza, wataalam wa kirusi na kimarekani percent kubwa ni wayaudi.

Je unafahamu ni nani waliokomesha concentration camp?
 
bado unawapandisha chati sana.hata aliegundua baiskeli ama kalamu nae amesaidia sana wanadamu.

Ukitaka kuona tofauti we jiulize Tanzania, Kenya na Uganda Rwanda na Burundi tuko Mil zaidi ya Mil 90. tumewahi kugundua nini? Wao wako Mil 12 at much Wamegundua yote hayo. Albert Einstein ndiye aliyegundua Atomic Bomb ambalo ndilo lililomaliza vita ya Pili ya Dunia. Yeye ndiye aliyawapa maelekezo namna ya kulitengeneza. Unafahamu Streller? Banker Buster? Python? Yote haya wamagu dua wao. Wavhina wako Bil 1.2 lakini ugunduzi wao hauna impact kubwa duniani kama hawa watu. Mtazamo tu. Baadhi ya silaha walizogundua zinatumiwa na jeshi la Marekani ni hizi hapo kwa link

https://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/US-Israel/israelisystems.html
 
Wayahudi ni wateuli na wabarikiwa wa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.Mafanikio ya jamii hutokana na baraka za Mungu wanaomuabudu.Mafanikio ya Wayahudi yamezalisha wivu na chuki kutoka kwa wengine
Natambua uwepo wa Mungu ila sio mfuasi wa kila gumu kupewa sababu za Kimungu!!!!!
 
Wadau nimeona niulize swali hili. Ki historia wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani. Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji. Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture). Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani ili hapa kuwalinda popote walipo duniani. Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

Inawezekana labda kuna ukweli au pia inawezekana nawewe pia ni moja ya wabaguzi na wachochozi wa chuki za ulowawakilisha.

Labda tuongelee asilimia

1. kila taifa lina maadui au wa ndani au wanje, ndiyo maana mataifa karibia yote yana majeshi......Tafuta sababu

2. Unaweza labda kutuwekea orodha ya nchi walau 20 amabako wayahudi wanachukiwa, anza na ujerumani kama ulivyo anzia katika simulizi zako.

Nihayo tu mkuu kwa kuanzia.....
 
Hebu weka IQ ranks kwa nchi mkuuu!!!!!!

Kama mtoa mada yupo sahihi hili halitasaidia kwakuwa hata hizo tafiti watakuwa wamezifanya hao "wanaowachuki"
Kama watakuwa wamezifanya wao basi hazitaaminika kabisa kama zikisema kinyume na mawazo ya "wanaowachukia"

Cha kufanya ni kutafiti kama kweli wanachukiwa
Kama kweli wanachukiwa tatizo litaanzia kwa wale wanaowachukia!
 
Back
Top Bottom