Kwanini waya wa Pasi ya umeme unajisokota?

Kwanini waya wa Pasi ya umeme unajisokota?

Nyoo-sha kwanza waya kabla ya kuwasha pasi, unajisokota kama ya bata?
 
Ni kweli kabisa hili tatizo lipo sana tu kwa cable ya pasi kujikunja.Mara nyingi tatizo lipo kwa mtumiaji hakikisha cable unai-roll vizuri baada ya kuitumia.Unakuta mtu anawahi sehemu flan anakua na haraka sana na mara baada tu kunyoosha nguo anakunja kunja hovyo hovyo ile cable na kuondoka.Na tatizo hua kubwa zaidi panapo kua na watumiaji wengi wa hiyo pasi,kujikunja kwa cable hupelekea zile conductor za ndani ku-puncher hivyo kuweza kusabisha madhara kwa mtumiaji kama kupigwa shock.Nakushauri mara uonapo cable hiyo imezidi kujikunja sana nenda kwenye duka la vifaa vya umeme ili ununue cable mpya bei yake hua si ghali sana.
 
waya hujikunja sababu

KATIKA COVER
1.material ambazo hutumika kama cover katika waya huwa na behavior of under go elasticity jinsi unavouvuta mara kwa mara(stress) pale unapo pasi husababisha strain kuongezeka na hiki kitendo huitwa creep hivyo basi waya huanza kujikunja pia kutokana na stress kujirudia mara kwa mara loss of strength of material hutokea hiki kitendo huitwa elastic fatigue na hupelekea cover kualibika

KATIKA WAYA
2.waya wa pasi hupitisha umeme mwingi sababu pasi haina transformer kama chaji ya simu hivyo kutokana na umeme kua mwingi usumaku(magnetic field around the wire) huwa kubwa na kupelekea pale unapo pasi nyaya ndogo ndogo kujikunja katita direction ya magnetic field ..according to Maxwell's corkscrew rule and Fleming left hand rule na huongezeka jinsi umeme unavozidi kupita

3.nyaya huwa zimesokotwa katika direction ya mwendo saa(clockwise direction) ili kuongeza usumaku nilio uzungumzia namba 2 hivyo unavo vuta na kukunja hupelekea waya mzima kujisokota mwendo saa kufuata direction ya
@nyaya ndogo ndogo
magnetic field around wire
@ stress and strain of cover

4.mwisho kama stress na strain ikizidi elastic limit or limit of proportionality waya huchanika na nyaya kutoka nje*

5.pasi huzarisha joto hivo baadhi ya sehemu ya waya hupata joto kutokana na kusogeza kalibu na pasi hivyo ujivuta na kupelekea waya kujikunja (kama ukichoma plastic) hii hutokea kutokana na mtumiaji anaposogeza baadhi ya sehemu za waya
 
Back
Top Bottom