chacha2016
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 189
- 119
Kweli
Mkuu watt 600 au volt 600? cjakupata vizurwewe jaribu kuwa na matumizi mazuri ya pasi yako epuka sana kutofuata au kuvunja matumizi sahiii. vile vile swala la kujisokota kwasababu pasi inatumia high current. au kwa ujumra pass yenyewe inatumia wat 600 voltage kwa hiyo umeme unapo pita kwenye cable lazima high tempratur na km unavyo jua zile waya zina material ya copper ila wamezprotect na prastic na kwa juu yake wameweka kitabaa kigumu ili isilete madhala kwa mtumiaji pia pasi original ukichuguza huwa haziwi na cable ndefu hiyo yote ni kukulinda ww mtumiaj maana cool za pas zitumia umeme mwingi sana. yapo mengi tu ila hayo kwa uchache
Wee Bujibuji, uko timamu kweli wewe? Umeme wa chooni unahusiana vipi na mada yangu?Umeme wa chooni
ndio Umeme wa kibabeWee Bujibuji, uko timamu kweli wewe? Umeme wa chooni unahusiana vipi na mada yangu?
Utunzaji pia ni ttzo kwenye nyumba zetuNi kwa sababu Ya fabric iliyofumwa nje Ya waya..ukinunua pasi utagundua ipo straight Kwa sababu ipo ndani Ya box..baada Ya Hapo ni Wewe Na utunzaji wako.mfano mimi huwa nausokota waya katika kishikio cha pasi Kila mara nikimaliza kupasi...sina tatizo hilo tena.
Hahaha, badili uweke waya mwingine then kila ukimaliza kunyoosha ule waya uzungushe kwenye mshikio wa pasi( Philips)Hata mm pasi yangu cable imejisokota hatari sasa ivi nimeipiga plasta kama majeruhi wa ajari ili nisikuse nyaya za ndani, tusaidieni wanafizikia
umeme wa mwendokasiUmeme wa kibabe ni umeme wa namna gani?Jibu lako limekaa kiutaniutani hivi.
[emoji18] [emoji18]We utakuwa unatumia pasi ya mkaa ndio maana huoni waya[emoji13]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] yeah n wa mkaa hyoWe utakuwa unatumia pasi ya mkaa ndio maana huoni waya[emoji13]