Kwanini watu wengi wanapenda singeli???

Hiyobl resechi yako umeifanya mikoa migapi? Sample saizi ilikuwa ngapi? Unauhakika watu wa Kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na magharibi mwa Tz kama kigoma na tabora wanapenzi utamaduni huo wa watu wa pwani?

Sio Kwa kuwa demu wako anapenda singeli basi umeconclude binadamu wengi tunaoenda singeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…