- Thread starter
- #41
Pole, mimi sikupigwa home na nilikuwa naandikia kushoto(usiulize kama nilianza kuandika kabla ya kwenda shule) ila nilipoanza kwenda shule walimu wakanifundisha kutumia mkono wa kuume. vingine tunafanana sana kwa maelezo yako.
kumbe inaonesha wengi tunaandikia mkono wa kulia sababu ya desturi tu na wala si utendaji kazi wa ubongo kama tunavyoambiwa na wanasaikolojia