Kwanini watu wengi wanaandikia mkono wa kulia?

Kwanini watu wengi wanaandikia mkono wa kulia?

Kulia kwenda kushoto ndio maumbile halisi...hata dunia inazunguruka kutoka kulia kwenda kushoto...ukitawa kuona ajabu watu wenye kutumia mikono inawawia vigumu sana kuwa madaktari wa meno..ndo kusea ata Muumbaji wa binadamu hataki mtu atumie mkono wa kushoto kutia mdomoni kwa mwenza...Suali wanaokula kwa mikono ya kushoto wamepata wapi?...Jibu ni mafundisho ya Shetani...Kwa Hakiaka Mashetani wanakula kwa mikono ya kushoto na wafuasi wao pia
 
Mkuu Hoshea umenipa point za kwenda kusumbua leo katika kijiwe chetu cha kahawa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimeshawahi sikia mahali wakisema wanaotumia mkono wa kushoto, wengi wao huwa werevu sana, na hutumia nguvu na akili nyingi kuliko wanaotumia mkono wa kulia, na pia huishi miaka pungufu ya wanaotumia mkono wa kulia
 
na wengi wanaoandikia mkono wa kushoto wana tabia zifuatazo 1) mahati mabaya 2) wanapenda kuongea 3)wanapenda kujisifu.
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza iweje idadi kubwa ya wanadamu hutumia mkono wa kulia,kwa kufanya shughuli mbalimbali hasa kuandika.Wakati ilipaswa tutumie mkono wa kushoto kwa maana katika lugha nyingi katika kuandika au kusoma tunaanzia upande wa kushoto kwenda kulia hivyo mkono sahihi kutumia ulipaswa uwe wa kushoto.Labda waarabu na watu wa lugha nyingine wanazoanzia kuandika au kusoma kulia kwenda kushoto ndio wanapaswa kutumia mkono wa kulia.Unasemaje mdau, maana hata wewe nadhani ni muathirika
na wengi wanaoandikia mkono wa kushoto wana tabia zifuatazo 1) mahati mabaya 2) wanapenda kuongea 3)wanapenda kujisifu.
 
Hawa left handers are so bright.Ukitaka kujua zaidi kuna club yao duniani inaowajumuisha wote lefthanders.Anayetaka kujua zaidi ingia www.lefthanders.com utakuta maswala yote kuhusu watu wa namna hiyo.Hii club raisi Obama ni mmoja wa member.Mle wametaja watu wakubwa katika maswala mbalimbali duniani ambao wamefanya makubwa ambayo yapo kwenye rikodi.Mtu kama Isack Newton,Bill gates,Mmiliki wa Facebook,Barack Obama,Lionel Messi,Ruben n.k wote wanatumia shoto.Pia wanasayansi wanne kati ya wale wamarekani walioenda mwezini wanatumia shoto.Kwa kujua zaidi ingia hapo kwenye mtandao maswali yote utajibiwa kisayansi na wanasayansi.

Kila Agosti 13 ni siku ya watumia mkono wa kushoto(left handers day)nadhani imebidi kuweka siku hii hili kuondoa imani potofu juu ya matumizi ya mkono wa kushoto
 
Mimi natumia mikono yote sawa kwa kuandika na mambo mengne,kati ya mikono hiyo ninapotakiwa kuwa umakini zaidi huwa najikuta nimeengage left hand zaid,mfano driving,je mimi naingia kundi gani?
 
Mimi natumia mikono yote sawa kwa kuandika na mambo mengne,kati ya mikono hiyo ninapotakiwa kuwa umakini zaidi huwa najikuta nimeengage left hand zaid,mfano driving,je mimi naingia kundi gani?

Kundi la kina Da Vinci
 
daah. mimi ni mmoja wa ma left handers. tangu nikiwa nursery nilijikuta tu naanza kutumia mkono wa kushoto. mwalim, bibi, mama na ndugu zangu walinipiga wee had wakachoka wenyewe lakini sikufanikiwa kuacha. Hadi baba akaingilia kati na kuamuru nisiwe nadundwa ila kwa sharti moja kuwa nisiwe tu nakula kwa mkono wa kushoto, na ndio had kesho kila kitu nafanya kwa mkono/mguu wa kushoto kasoro kula tu, ila nashukuru mungu sasa inaanza kuonekana ni jambo la kawaida kutumia kushoto ukilinganisha na zamani ambapo ilikuwa kama aibu/laana..
 
Kulia kwenda kushoto ndio maumbile halisi...hata dunia inazunguruka kutoka kulia kwenda kushoto...ukitawa kuona ajabu watu wenye kutumia mikono inawawia vigumu sana kuwa madaktari wa meno..ndo kusea ata Muumbaji wa binadamu hataki mtu atumie mkono wa kushoto kutia mdomoni kwa mwenza...Suali wanaokula kwa mikono ya kushoto wamepata wapi?...Jibu ni mafundisho ya Shetani...Kwa Hakiaka Mashetani wanakula kwa mikono ya kushoto na wafuasi wao pia
hapo kwa ma dr. Wa meno ni kwa sababu dental chairs zimetengenezwa kwa kuzingatia watumia mikono ya kulia ingawa na left handed dentists huvitumia kwa kubadili positions zao.
 
Good Explanations...from Linguistics point of view
Linguistics? ...kwanini hivi viingereza jamani msiviweke pembeni ktk issue fulani,kwanaji vilihitajika hapa ktk jibu lako?.nifahamuvyo kuna watu huweza kutumia zaidi na kwa ufaniki ama kushoto tuu,ama kulia tuu,kwa kiasi cha kufanya viungo vya upande usiotumika kuwa hadi dhaifu kwa vile misuli haijengeki.Ila kuna wale wanaoweza tumia viungo vya pande zote.hawa huweza onekana kuwa slow thinker au relative slower in movements.Hawa kutumia upande mmoja kunaweza kuwa a matter of preferences.watu wanaotumia upande mmoja kun amatukio huonekana kuwa wapo very accurate.Kwa vile huwa hawana option nyingine na ubongo wao haupotezi muda kupima ili wachague.Na hivyo wanakuwa faster kwa vile hawahitaji hata kufikiri kuchagua.
 
Kila Agosti 13 ni siku ya watumia mkono wa kushoto(left handers day)nadhani imebidi kuweka siku hii hili kuondoa imani potofu juu ya matumizi ya mkono wa kushoto

we unazan wep ni weng na maarufu .kati ya left na right handers??.
 
nlivoanza kusoma na kuandika I was left-handed,mama ndo alitufundisha kusoma kabla ya kuanza shule alinichapa ili tu niwe right-handed,sa cjui kuwa mashoto aliona ni km kilema,still kuna vitu nafanya kilefthanded sana,...sijui why some are right or left but ukiwahiwa tangu mtoto una adapt upAnde mwingine vzur tu

Pole, mimi sikupigwa home na nilikuwa naandikia kushoto(usiulize kama nilianza kuandika kabla ya kwenda shule) ila nilipoanza kwenda shule walimu wakanifundisha kutumia mkono wa kuume. vingine tunafanana sana kwa maelezo yako.
 
Linguistics? ...kwanini hivi viingereza jamani msiviweke pembeni ktk issue fulani,kwanaji vilihitajika hapa ktk jibu lako?.nifahamuvyo kuna watu huweza kutumia zaidi na kwa ufaniki ama kushoto tuu,ama kulia tuu,kwa kiasi cha kufanya viungo vya upande usiotumika kuwa hadi dhaifu kwa vile misuli haijengeki.Ila kuna wale wanaoweza tumia viungo vya pande zote.hawa huweza onekana kuwa slow thinker au relative slower in movements.Hawa kutumia upande mmoja kunaweza kuwa a matter of preferences.watu wanaotumia upande mmoja kun amatukio huonekana kuwa wapo very accurate.Kwa vile huwa hawana option nyingine na ubongo wao haupotezi muda kupima ili wachague.Na hivyo wanakuwa faster kwa vile hawahitaji hata kufikiri kuchagua.
Unaadika kama train, vipi mkuu?
Mpaka uvivu kusoma.
 
Me ninavojua viungo vya kushoto vya mtu vinaongozwa na ubongo kulia likewise vya kulia na ubongo wa kushoto, halafu ni kwamba right hemisphere ya brain ndio ipo efficient zaidi, na ndio maana wengi wanotumia left hands au miguu wapo vizuri kama ni darasani kwenye soccer wapo extraordinary, this is because kutokana na kutumia viungo vyao vya kushoto inasababisha ubongo wa kulia kufanya kazi zaidi na huo upande wa ubongo ukishughulishwa huwa upo vizuri. zaidi, ndio maana hapo zamani dola kubwa kubwa zilipogundua hayo mambo ikapinga sana watu kutumia left hands au legs, walijua watu watakuwa very intelligent and it will be much difficult to rob em, what shud be done wakaamua kumake things up kuhusu upande wa kushoto na viungo vya kushoto, angalia dini zinavoupinga upande wa kushoto, mwana wa Mungu atakaa mkono wa kuume wa kiti cha enzi, mara wale si wake atawaweka kushoto wakachomwe moto, mila na desturi nyingi zamani zilipinga sana matumizi ya kushoto,because ukitumia kushoto utatumia right hemisphere ya ubongo.
Sidhani kama kuna mtu anazaliwa automaticaly anadepend upande flani zaidi, ni katika kujifunza funza ndio mtu anaamua kutumia upande mmoja wapo.
Wataalam zaidi watakuja elezea hii kitu.

1)Statistics zinasemaje kuhusu "extra ordinaries" wanaotumia kushoto au kuume?
2)Kuwa intelligent maanayake nini?
 
Check this out
How the Brain Translates the Hologram

What we think we see or perceive around us is an illusion. A very effective one, and very easily manipulated. We watch from our earthbound nervous systems (until we learn to see or perceive otherwise) a world around us take shape and form. We look for patterns, and we quickly learn to guard for fight or flight situations according to our pre-programmed brains’ propensity to defend itself according its interpreted surroundings.
dancingsnakes.jpg

Rotating Snakes Illusion. This work was created by Akiyoshi Kitaoka in 2003 as an illusion design of the optimized Fraser-Wilcox illusion. Credit: Akiyoshi Kitaoka

Unaweza kusema ni upande gani wa ubongo unatumika hapa?
 
kwanini watu wachache wanaandikia mkono wa kushoto?
 
Back
Top Bottom