Kwanini watu wengi hufikiri forex ni betting, wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa.

Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu anapata pesa, anafungua akaunti na kuanza kubonyeza BUY/SELL bila kuelewa. Anaenda kwa bahati nasibu.
Matokeo yake? Hasara kubwa — kisha asema forex ni kamari.

Watu wengi Wanatumia “luck” badala ya analysis Badala ya kutumia uchambuzi wa kiufundi (technical) au msingi (fundamental), wanategemea “labda leo itapanda”.Hii ni kama kubashiri mpira bila kujua timu au wachezaji.

Wengi utumia mawazo ya Muda mfupi wa matokeo — kama kamari.

Forex inaruhusu kupata faida au hasara haraka (ndani ya dakika au saa), kama vile betting inavyofanya.

Kwa nje, inaonekana kama kasino — lakini tofauti ni msingi wa maamuzi.

Matangazo ya pesa za haraka kama
Kuona Baadhi ya “mentors” au matangazo mitandaoni huonyesha maisha ya kifahari bila kueleza kazi, ujuzi na nidhamu inavyohitajika.

Hii huwafanya watu kufikiri forex ni njia ya haraka kupata pesa bila juhudi — kama kamari.

Kutokujua tofauti kati ya uwekezaji na kamari. Kamari ni kubashiri bila taarifa, wakati forex sahihi ni kuamua kwa kutumia data, takwimu, na uchambuzi.

Watu wengi hawajui tofauti hiyo kuwa Ukweli ni huu Forex si betting kama Unajifunza vizuri (technical + fundamental analysis), Unatumia risk management (kama SL/TP),Una nidhamu ya trading na Unafuatilia uchumi, siasa, vikwazo, n.k.

Nukuu ya kuzingatia:

“Betting is based on hope. Trading is based on strategy.”
 
Shida ni Watu kuwahi kupigwa pigwa za uso huko huko kwenye biashara za mitandaoni. Ila pakipatikana Mtu sahihi wa kumpatia Mgeni channel na mafunzo vizuri ya hiyo biashara wala hapana neno Mkulungwa.
 
Wewe forex umeisomea lini ? Ndugu yangu naweza kukupa ukweli hapa ukabaki unatoa macho.

Unatakiwa kufirikia tu hapa : vijana wa forex pekee wanalzimisha kuonekana wamefanikiwa.
 
Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa.

Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu anapata pesa, anafungua akaunti na kuanza kubonyeza BUY/SELL bila kuelewa. Anaenda kwa bahati nasibu.
Matokeo yake? Hasara kubwa — kisha asema forex ni kamari.

Watu wengi Wanatumia “luck” badala ya analysis Badala ya kutumia uchambuzi wa kiufundi (technical) au msingi (fundamental), wanategemea “labda leo itapanda”.Hii ni kama kubashiri mpira bila kujua timu au wachezaji.

Wengi utumia mawazo ya Muda mfupi wa matokeo — kama kamari.

Forex inaruhusu kupata faida au hasara haraka (ndani ya dakika au saa), kama vile betting inavyofanya.

Kwa nje, inaonekana kama kasino — lakini tofauti ni msingi wa maamuzi.

Matangazo ya pesa za haraka kama
Kuona Baadhi ya “mentors” au matangazo mitandaoni huonyesha maisha ya kifahari bila kueleza kazi, ujuzi na nidhamu inavyohitajika.

Hii huwafanya watu kufikiri forex ni njia ya haraka kupata pesa bila juhudi — kama kamari.

Kutokujua tofauti kati ya uwekezaji na kamari. Kamari ni kubashiri bila taarifa, wakati forex sahihi ni kuamua kwa kutumia data, takwimu, na uchambuzi.

Watu wengi hawajui tofauti hiyo kuwa Ukweli ni huu Forex si betting kama Unajifunza vizuri (technical + fundamental analysis), Unatumia risk management (kama SL/TP),Una nidhamu ya trading na Unafuatilia uchumi, siasa, vikwazo, n.k.

Nukuu ya kuzingatia:

“Betting is based on hope. Trading is based on strategy.”
Siwezi kuiita betting ila kwa watu wa karibu niliowaona wanafanya huo mchakato wengi wana wishful thinking iliyopitiliza.
 
Kitu chochote ambacho ni probability ni pure betting

Tumewai fanya analysis for 6hrs tukaingia sokoni USD ikatubadilikia vibaya mnooo

To me Forex trading is more professional betting
 
Inategemea unaifanyaje forex is based on probability but will favour you dur to repetitive patterns ambazo unajuwa how to act accordingly, huwezi ona kitu kile kile alafu ukaanza kuotea au kwenda kinyume chake , trading kwa nje inaoneka simple kama betting ila kiuhalisia trading ni ngumu sana kwasababu inahusisha saikolojia

Watu wanaojitutumua kujifunza wenyewe ndo wanaishia kuita forex betting it is up to you how you treat it.
Unaweza kuta kitu kina tizamika the same ila kukawa na mtego mdogo tu unaohitaji subira. Understand how time work with liquidity and manipulation &price pamoja na fundamental

Ktk betting silaha zako ni hisia,hasira,go all in,fear,hope, excitement. sasa ukizipeleka ktk trading umekwisha trading is about logic &edge and risk management
 
ukitaka kujua ukwel basi ni betting, ukitaka wanafunzi basi ni biashara
 
Wewe forex umeisomea lini ? Ndugu yangu naweza kukupa ukweli hapa ukabaki unatoa macho.

Unatakiwa kufirikia tu hapa : vijana wa forex pekee wanalzimisha kuonekana wamefanikiwa.
Ni kweli ni personal brand ila wanaofanikiwaa wachache.. ambao wamejifunza A to Z
 
Inategemea unaifanyaje forex is based on probability but will favour you dur to repetitive patterns ambazo unajuwa how to act accordingly, huwezi ona kitu kile kile alafu ukaanza kuotea au kwenda kinyume chake , trading kwa nje inaoneka simple kama betting ila kiuhalisia trading ni ngumu sana kwasababu inahusisha saikolojia

Watu wanaojitutumua kujifunza wenyewe ndo wanaishia kuita forex betting it is up to you how you treat it.
Unaweza kuta kitu kina tizamika the same ila kukawa na mtego mdogo tu unaohitaji subira. Understand how time work with liquidity and manipulation &price pamoja na fundamental

Ktk betting silaha zako ni hisia,hasira,go all in,fear,hope, excitement. sasa ukizipeleka ktk trading umekwisha trading is about logic &edge and risk management
Kwel kbs hafu trading success lazima ufanye effort na discipline watu wanataka chap...
 
Kitu chochote ambacho ni probability ni pure betting

Tumewai fanya analysis for 6hrs tukaingia sokoni USD ikatubadilikia vibaya mnooo

To me Forex trading is more professional betting
Kila kitu dunian ni probability labda naona uhakika ni job ya serikali 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom