Kwanini watu wema wanapatwa na mambo mabaya?

Kwanini watu wema wanapatwa na mambo mabaya?

Muhubiri 7:
15 Nimeona kila jambo katika siku zangu za ubatili. Yuko mwadilifu anayeangamia katika uadilifu wake, na yuko mwovu anayeendelea kuishi kwa muda mrefu katika ubaya wake. 16 Usiwe mwadilifu kupita kiasi, wala kujionyesha kuwa na hekima kupita kiasi. Kwa nini ujiletee ukiwa? 17 Usiwe mwovu kupita kiasi, wala kuwa mpumbavu. Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?


Duh..ndo naliona leo hili andiko
 
Ni kawaida kwa watu wanaosadikiwa kuwa waouvu kuonekana wanafanikiwa kuliko wema na waadilifu.

Haya yanatokea ili kuwasidia wema waaije kujisahau kuwa hapa duniani ni wapitaji, na wasafiri. Kila Kitu kimevurugwa hata ukifuata sheria utavurugwa na wasiozifuata.

Kikubwa ni Kuomba Msaada kwa Mungu pale mabaya yanapokupata hata kama hayana sababu. Usipoteze Muda kulialia '' kwa nini mimi tu Mungu''.
Mkuu hapa nusu kwa nusu, muovu anaweza kuishi mda mrefu au muda mfupi, ata wale wema wanaweza ishi mda mrefu au mda mfupi rejea wakina Nuhu n.k kwenye mafanikio ivyo ivyo yeyote anaweza fanikiwa awe mwema au muovu, kauli hizi za kusema waovu wanafanikiwa sana ni kauli za watu wanaoelekea kupata msongo wa mawazo
 
wanaishi muda mrefu ili wapewe nafas ya kutubu ila watu wema wanateswa sababu mtawala wa dunia hii ni shetani . 1Yohana 5:19
Screenshot_2019-04-05-05-55-12-400_org.jw.jwlibrary.mobile.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaiah 57:1-2
1 Good people die, and no one understands or even cares. But when they die, no calamity can hurt them.2 Those who live good lives find peace and rest in death.
 
Ni kawaida kwa watu wanaosadikiwa kuwa waouvu kuonekana wanafanikiwa kuliko wema na waadilifu.

Haya yanatokea ili kuwasidia wema waaije kujisahau kuwa hapa duniani ni wapitaji, na wasafiri. Kila Kitu kimevurugwa hata ukifuata sheria utavurugwa na wasiozifuata.

Kikubwa ni Kuomba Msaada kwa Mungu pale mabaya yanapokupata hata kama hayana sababu. Usipoteze Muda kulialia '' kwa nini mimi tu Mungu''.
Mkuu Mitale, mitale na midimu , asante kwa bandiko hili, nimeguswa!,
P
 
Back
Top Bottom