Kwanini watu wema wanapatwa na mambo mabaya?

Kwanini watu wema wanapatwa na mambo mabaya?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
Ni kawaida kwa watu wanaosadikiwa kuwa waouvu kuonekana wanafanikiwa kuliko wema na waadilifu.

Haya yanatokea ili kuwasidia wema waaije kujisahau kuwa hapa duniani ni wapitaji, na wasafiri. Kila Kitu kimevurugwa hata ukifuata sheria utavurugwa na wasiozifuata.

Kikubwa ni Kuomba Msaada kwa Mungu pale mabaya yanapokupata hata kama hayana sababu. Usipoteze Muda kulialia '' kwa nini mimi tu Mungu''.
 
Mkuu m ni muumin wa The Law of Nature..Ni hv hii dunia imejaa hila nying, na si kwel kuwa asil,ya dunia ni Mema tu(kama tunavyokaririshwa) ..bali asil ya dunia ni Jinsi Nature inavyoamua yenyewe
 
Muhubiri 7:
15 Nimeona kila jambo katika siku zangu za ubatili. Yuko mwadilifu anayeangamia katika uadilifu wake, na yuko mwovu anayeendelea kuishi kwa muda mrefu katika ubaya wake. 16 Usiwe mwadilifu kupita kiasi, wala kujionyesha kuwa na hekima kupita kiasi. Kwa nini ujiletee ukiwa? 17 Usiwe mwovu kupita kiasi, wala kuwa mpumbavu. Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?
 
Mkuu m ni muumin wa The Law of Nature..Ni hv hii dunia imejaa hila nying, na si kwel kuwa asil,ya dunia ni Mema tu(kama tunavyokaririshwa) ..bali asil ya dunia ni Jinsi Nature inavyoamua yenyewe
ni kweli.
Kuna sheria za asili ambazo zitaendelea kufanya kazi zake bila kujali kama muhusika aliyejichanganya ni mwema au mwovu.
mfano, mshale ukilenga jicho, asili ya kitu chenye ncha kali ni kutoboa. Jicho litatoboka bila kujali kama ni mwema au muovu.
Uelewa huu husaidia kumuomba Mungu atusaidie pale tunapokuwa na majanga badala ya kupoteza Muda kufafanua janga.
 
Wana adhibiwa na "law of natural selection"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu muovu hawezi kuzuiwa kufanya uovu ambao unaweza kumuathili hata mtu mwema.
Mfano gaidi anapojilipua sokoni na kuua watoto na wajasiliamali wakina mama.
Mungu akizuia kila maamuzi ya mtu Muovu, atakuwa anaingilia uwezo aliowapa watu kuchagua kuwa wema au waovu.
Atakuwa anamrudisha mwanadamu kuwa kama mnyama asiyechagua lolote anajiendea tu bila kujali.
 
Back
Top Bottom