Utamu siyo lazima uwe kama asali!...ladha ya bia ya ukali au uchachu ndo utamu wake hasa bia ikiwa baridi sana!...kwani maji yana ladha gani niambie lakini mbona matamu?Wakuu habari
Naomba kufahamu katia unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhis vibe fulani, ndio vinawaletea mumkali?
Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali.
For user only🔥
Kwa mara ya pili umeruka swali.. hayo madude unayokunywa yanakusaidia nini?Nyinyi wanywa soda jau sanaaaaaa... Sisi wengine tuna kunywa responsible hatufanyi over drinking.
Tuna kazi halali, familia, busara,utii,adabu, hadhi na heshima kwenye jamii ni watu wa mfano wa kuigwa waungwana.
NB. For years pombeee imetumika na wafalme / ma champion na washindi wa vita..
Kama hujawai kutumia KILEVI chochote basi wewe jua HUJAWAI KUISHI KABISA KABISA
Wewe still ni kijana mdogo Kuna mengi yapo mbele Yako years later utakuja kutengua kauli Yako.Kwa mara ya pili umeruka swali.. hayo madude unayokunywa yanakusaidia nini?
Watu weng washajibu hapo juu.Kwa mara ya pili umeruka swali.. hayo madude unayokunywa yanakusaidia nini?
Huyo ameshindikana🤣Alisema uzi wa kiwaki
Aaah jina ni Hilo Hilo Smirnoff vodka mkuu ?Labda sminorff vodka..
asaKatika unywaji wa pombe Kali au bia inshu ni kichwa Cha mtu kuhusu ladha inshu ni nyongo Yako pia
Ipo yenye sukari ni ice sio vodkaAaah jina ni Hilo Hilo Smirnoff vodka mkuu ?
Ukinywa tu utajua kama ni size yako mkuuSasa mimi ntaijuaje nyongo yangu jaman
asa
Ukinywa tu utajua kama ni size yako mkuuSasa mimi ntaijuaje nyongo yangu jaman
asa
Unapenda za kukunja uso na sio tam tamIpo yenye sukari ni ice sio vodka
Ewaaah🤗Unapenda za kukunja uso na sio tam tam
Huu mguu ukimgonga Raia lazima apate TetenusUsitoke! Hizo bruto tuachie pisi kali😂
Nyinyi wanywa soda jau sanaaaaaa... Sisi wengine tuna kunywa responsible hatufanyi over drinking.
Tuna kazi halali, familia, busara,utii,adabu, hadhi na heshima kwenye jamii ni watu wa mfano wa kuigwa waungwana.
NB. For years pombeee imetumika na wafalme / ma champion na washindi wa vita..
Kama hujawai kutumia KILEVI chochote basi wewe jua HUJAWAI KUISHI KABISA KABISA
Ukimuona mtu anakaa sober 24/7 mwaka mzima muheshimu. Ni rahisi kunywa pombe kwa sababu ni kila kitu mtu anafanya, ni escape ya wengi wanaokimbia uhalisia wao na kutafuta kampani ambazo hazina bond strong.Mwanaume ni lazima unywe pombe.
Nalog off Z
Like cuca, nyagi.Ewaaah🤗
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inanipa ujasiri wa kutukana yeyote.
ChaiMimi nakunywa pombe tamu tamuu..
Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.
Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa
Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..
Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...
Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..