Kwanini watu wanaipenda pombe?

Zikiwa zimetoka toka tu siku moja nikasema hebu nivute moja nisikilizie nilipiga funda 3 nikashindwa kabisa nikaimwaga nikamwamnia niletee safari kubwa 3 za barisdiiii zaidi ya Friji
Tuko kama juice, husikii chochote mwenzetu ushazoea kazi ngumu๐Ÿ˜‚
 
Nimeshajatibu bia nyingi sana
Heinekein
Windhoek
SIRMOFF
SAVANNA
LOCAL beer zote hadi Balimi

Mimi nakunywa Bia Mbili tu Castle lite kama mfuko uko vizuri sikuhiyo, Au Safari lager nikipiga Sita kubwa lazima nikae kiasakari kabisa!!
 
Hiyo savana na sminorff ulikuwa unajaribu hadharani kabisa? Wewe piga whiskey tu beer ushavuka aisee๐Ÿ˜†
 
Unapata faida gani ukinywa hizo vitu ulizotaja?
 
Niliwahi kumix hiyo colabo hapo ๐Ÿ˜€
Nilipumzika muda mrefu eheee. Ilikuwa nikiona bia nalewa kabla hata nisikie harufu
Hahaha pole sminorff si mchezo especially kipindi ina 7% sio hii ya sasa sijui 4.5 enzi hizo ukila 3 tu unaongea kingereza hataree!๐Ÿ˜…
 
Coz ni kitu nzuri. Flying fish ni Bia pekee ya Tanzania niliyoweza kuinywa.. ikiwa ni ile ya kikopo naona ni tamu zaidi kuzidi chupa.

Afu ukishazipiga sex yake ni extra ordinary..
Unaongelea hii dada๐Ÿ˜๐Ÿ˜ yani juice sio juice hii aisee nmekata carton ni aibu๐Ÿคฃ

Hapo mwisho umesemaje? Kumbe ina vitabia kama vya Reddโ€™s๐ŸŒš vitu vyenye sukari sio poaa!!
 
Attachments

  • F71F4D57-3F08-4A56-8583-AE707F1D4425.jpeg
    378.7 KB · Views: 28
Hahaha pole sminorff si mchezo especially kipindi ina 7% sio hii ya sasa sijui 4.5 enzi hizo ukila 3 tu unaongea kingereza hataree!๐Ÿ˜…
Niliiacha nayo mudaa. Hizi mpya zenye flavour tofauti sijawahi jaribu.. enzi ya 7 unalewa asbh unaamka kichwa kama umebeba nyumba ๐Ÿ˜†

Nikabaki na wine tu.. vi flying fish vilipotoka ndiyo nikavistesti nikatulia navyo
 
Yani hii ya sasa ndio apple punch nmeonja za apple aisee ni kupoteza pesa๐Ÿ˜‚.. kiukweli napenda whiskey hizi sukari basi tu nisionekane kazi ngumu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Niletee hunting lodge, captain morgan, JD, Jagger, famous grouse n.k๐ŸŒš
 
Unaongelea hii dada๐Ÿ˜๐Ÿ˜ yani juice sio juice hii aisee nmekata carton ni aibu๐Ÿคฃ

Hapo mwisho umesemaje? Kumbe ina vitabia kama vya Reddโ€™s๐ŸŒš vitu vyenye sukari sio poaa!!
Yes.. huto ni tutamu sana kuzidi ya chupa
Na unavinywa vingi ndio ukae kwenye mstari ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mambo yanakuwa bam bam.. hata budweiser ina hako ka tabia ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Mwee ila mi ni sugu ata sisikiagi kitu labda 420๐Ÿ˜‚

Na desperados, windhoek labda๐Ÿ˜‚
 
Yani hii ya sasa ndio apple punch nmeonja za apple aisee ni kupoteza pesa๐Ÿ˜‚.. kiukweli napenda whiskey hizi sukari basi tu nisionekane kazi ngumu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Niletee hunting lodge, captain morgan, JD, Jagger, famous grouse n.k๐ŸŒš
Sukari za kutia maua mezani muhimu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Vitu vichungu tunawaachia wallah ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ