Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

Kila kitu kina sababu yake. Umewahi kuishi nyumba yenye paa la chini sehemu kama Dar ukaona khabari

Kila kitu kina sababu yake. Umewahi kuishi nyumba yenye paa la chini sehemu kama Dar ukaona khabari yake?
umenikumbusha niliish nyumba moja hiv yan uko juu ya bati ikifika mchana utasema wanapalilia ubwabwa ikafika kipind nalala na dripu bila vile nazan nisinge toboa yan na ukoboko wangu nilianza kubanduka magamba
hongera kwa wabunifu😅😅
 
Nyingi sababu zinakuwa kutoruhusu matope ya maji kukaa hata sekunde ili kupunguza kuntu, kingine hata joto pia linapunguza panakuwa na distance kutoka kweny paa mpaka kweny Gypsum kwa eneo la katikati.
Hayo 'matope' ya maji (mvua) kwenye bati ni kitu gani?
 
Kila kitu kina sababu yake. Umewahi kuishi nyumba yenye paa la chini sehemu kama Dar ukaona khabari yake?
wakati naanza maisha nilikuwa nakaa nyumba yenye paa la chini yani ukiinua tu mkono juu unagusa paa aiseee ile nyumba ilikuwa lazma ukaoge ndo uje ulale mda huo huo tena feni ikiwa speed ya mwisho

balaa ni umeme ukikatika mzee lazma utoke nje
 
Mimi nyumba yangu nitapaua hivi hutaki kwendaa!
IMG_1903.jpg
 
Ushamba tu tena kama huku vijijn ndo zmezdi wenyew wanaita ViDUKU. yan inachongoka mpka fundi ukimwambia akafunge panel za solar anakataa hyo kaz ya kupanda juu
 
Yeah. Wengine huko kwenye paa ni km nyumba ya juu.kuna uwezekano wa kuweka vyumba vya kulala au stoo ya kuhifadhia vitu hivyo km eneo ni dogo anapata vyumba vya ziada.
Hii ni point nzuri sana. Hapo nimejifunza kitu sio vitanda tu vinaweza kuwa double decker, kumbe hata nyumba yaweza kuwa double decker.
Hilo dari lina uimara gan wa kufanya chumba
 
Zipo sababu za kitaalam za kuezeka nyumba kama piramid.


1-Kusaidia kutirirsha maji kirahisi na kurpuka unyevu unyevu wa muda mrefu unao weza kusababisha kutu.

2-Kuzuia vitu vigumu kutuama na kusababisha utunzi wa kutu.

3-Hupunguza joto kwa kwa kuongeza vacuum .

4-Hupunguza hatari ya kuezuliwa, ukilinganisha na nyumba zenye paa fupi.

5-Husaidia kutokuvuja.
Kumbuka swala la kuvuja mara nyingi huchangiwa wakatati wa kipaua, usitishike ukikutana na Hali hii huwa inatokea mara nyingi na inatibika.

6-Urembo/mwonekano bila shaka umezungumzwa sana.

Uvimo Civil Group tunakufanyia nyumba yako kuwa smart.

Wasiliana nasi kwa huduma zenye uhakika kuanzia ramani hadi kukabidhiwa ufunguo, sisi uvimo tunakufanyia Kila kitu unacho taka.

0753927572
WhatsApp na Kupiga.
Nyumba inakuwa Kama Uyoga au Mwamvuli inakuaje na urembo kwa staili hiyo?
 
Back
Top Bottom