Kwanini watu wanacheat?

Kuroga ni sayansi inayowezesha maisha ya kila siku kuwa marahisi.......muulize cupcake wako gambushi ni nini?
mimi nina shamba langu nachukua watu 1000 wenye nguvu wanalima napata mazao......uoni nifaida hiyo?
Mchawi ni bora sana katika uchumi nyie ndio mnafanya mpaka teknolojia yetu tusiwagawie wengine.....

mfano usafiri.......ni usafiri gani usiokuwa na gharama na wa kasi kama wa mchawi ungo........unajua mwendo kasi wa ungo?

usije ukaniambia uchawi ni kula nyama za watu....kula nyama za watu ni tabia haipo katika katiba ya uchawi.....

nyie na vidini vyenu mmetuaharibia maisha....mmefanya yamekuwa magumu

hebu acha kumtisha cupcake bana...
 
sijalosti najua dada zenu hawana ghrama..matembele na makopa siku imepita......

Yoyo achana nao. Watakulisha Kihembe!!! Du, hili la MAKOPA sina mbavu. Ila ugali wa Makopa kwa Nswalu(lami) au Nsansa(Rasta) lilikolezwa tui la karanga mwenyewe utaiacha KFC.
 
Yoyo achana nao. Watakulisha Kihembe!!! Du, hili la MAKOPA sina mbavu. Ila ugali wa Makopa kwa Nswalu(lami) au Nsansa(Rasta) lilikolezwa tui la karanga mwenyewe utaiacha KFC.

Hahahahaa Sikonge wanikumbusha mbali sana, nilipokuwa mdogo nilikuwa sipendi kabisa hiyo lami, siku hizi huwa naiagiza hadi huku nilipo!! Ingwa kuna siku jamaa airport waling'ang'ania ile mbaya....
 
I am not kidding and i am positive kuwa if youa re willing to make thing work it will work...sema tamaa za dunia zimefanya watu wafikirie kuwa otherwse kama wewe unavyosema mbona a lot of our parents mpaka leo bado wapo na wana deal na wamama zetu hadi leo hii...thet still stand strong to each other...ila ukiweka na material stuff kwenye ndoa that is when itakapoanza kupinda na kufanya maporomoko na kutoelewana ndani ya nyumba....if you want to make things work ni trust and support...
,

Not all the time Kelly sometimes you try everything and is just not working and you end up become the victim because you force to make it work,beleive me there is no price for the piece of mind and if you don't have that in any relation then you know is time to give up.Run especially in western countries woman has got alot of power.when you go to this familly court they just listen to them.

SAHIBA.
 
The only thing first you need to do ni kumtanguliza mungu kwanza...Haya mambo ya ndoa yako so complicated kama hutamtanguliza mungu mbele...

yeah kelly ur right ma dear!!!wengi wanakurupuka,wengine wanagopa age kupanda bila ndoa,na mengine tu
 
Mie nashangaa Waschana wa kuoa hata bikira wapo kibao..yet unakuta mtu anahangaika na mke wa mtu!

Maadili yako wapi?
__________________

bikira ya wapi nyuma,mbele ,katikati specify pls!!
 
Kelly01, Masanilo, Nyani Ngabu, Yo Yo et al ....You made my day. Nimecheka mbavu sina. Itabidi hapa JF tuwe na somo la lugha kama Kisukuma Vile.

Oh mwayego, kalumbu. Ogonile!!! Uswanu!!! Namnani, ....chedi, Shimboni, Mwasipota na Tasipota. Du Lugha kibao. Afadhali walisema Kiswahili iwe lugha ya Taifa, japo nafikiri wangeamua tu English iwe Lugha ya Taifa. good day.
 
Kama huamini nenda Kibondo au S'wanga......wazee wanatundika makoti ukutani na hamna misumali......
Unafahamu au uliwahi kusikia mtu katumiwa pembe?
Ulishafika ziwa tanganyika? kuna mji mzuri sana ziwani mule chini.......

Nani kakuambia kuroga ni ushetani?

Sidhani kama ana ulazima wa kwenda S'wanga au Kibondo. Huko huko kanda ya ziwa ndiko kuna wengi zaidi, possibly kuliko S'wanga! Kwani albino na vikongwe wanauawa wapi? Nadhani maeneo kama S'wanga ni historia tu, lakini huko kanda ya ziwa hakuna haja ya kuuliza!
 
Code:
bikira ya wapi nyuma,mbele ,katikati specify pls!
Mama Mia kumbe kuna aina ya bikira?
 
The only thing first you need to do ni kumtanguliza mungu kwanza...Haya mambo ya ndoa yako so complicated kama hutamtanguliza mungu mbele...

yeah kelly ur right ma dear!!!wengi wanakurupuka,wengine wanagopa age kupanda bila ndoa,na mengine tu

Mama Mia...Ni kweli na nimeona mifano mingi ya wanawake wanaoona kuwa ok sasa age inakwenda na hana muelekeo kamili..matokeo yake ndiyo hayo unaolewa na mtu ambaye huna feelings naye and you end up cheating because sex is boring...
 
Heheheeh Sex can be boring jamani.....that thing is cool, I can never get bored with it!!!
 
Hahahahaa Sikonge wanikumbusha mbali sana, nilipokuwa mdogo nilikuwa sipendi kabisa hiyo lami, siku hizi huwa naiagiza hadi huku nilipo!! Ingwa kuna siku jamaa airport waling'ang'ania ile mbaya....

Mimi hizo nsansa, sijui ni sehemu zilipokuwa zikianikwa, maana zilikuwa kama zina mchanga lakini ni very delicious halafu ukishaweka na matembele basi wewe songa ugali mlima kama wa Kilimanjaro kama siku appetite haikukimbia kwao basi naweza kushuka na mlima wote wa ugali. Jamani vyakula vya kwetu ni very delicious, lakini ile kitu ya samaki nchanga na kula vyura haitaniingia akilini hata siku moja.
 
You are joking /not serious or may be not married or recently got married ma brother!

Status yangu ni none of the above!!!

Sijui kwa kweli kama sex inaweza bore, nakubali unaweza kuwa bored na partner lakini sex mmmmhhh acha utani bana......najua kuna couple hawaongei ila wanakulana mipini ile mbaya...
 
Trust me Shem sex can be boring..and it depend and a person and also how you do it in everyday basis...
anyhoo overall sex is overated...

mmmhh shem nawe!! nadhani partner anaweza kubore!! ndo maana watu huenda sehemu nyingine kutafuta SEX, ingekuwa hivyo wasingetafuta tena maana ina bore....msalimu Ngosha Kugema NN
 
mmmhh shem nawe!! nadhani partner anaweza kubore!! ndo maana watu huenda sehemu nyingine kutafuta SEX, ingekuwa hivyo wasingetafuta tena maana ina bore....msalimu Ngosha Kugema NN

Oh yeah shem partner wako anaweza kubore kwenye sex...sex inahitaji feelings na palupulu mengine tuu mengi sana. unajua lets not go there maana tutakuwa tunakwenda off topic ila just keeo in mind kuwa watu wengine they tend to cheat kama hawako happy ndani ya ndoa and mostly ni kutokana na sex au communication....kwa mwanamke kama my husband wake hampti enough attention......Na kama Mama Mia alivyosema most of them ni kutokana na age wakiona inakimbia they tend to go for anybody haijalishi kama anampenda hampendi ili mradi aolewe tuu...na matokeo yake ndiyo hayo...

Nitamsalimia cupcake.....
 
Back
Top Bottom