Kwanini watu wanacheat?

Ndiyo wanavyoanzaga hivyo hivyo!....msaada kwenye tuta

oh no cupcake, i'm just trying to be helpful....

unajua masanilo hawezi kutema sumu na akijaribu kuongea watu humcheka kwa sababu ya lafudhi yake nzito ya kisukuma....lol
 
Ok if you say so!...i take your words. its about trust right?.
 
oh no cupcake, i'm just trying to be helpful....

unajua masanilo hawezi kutema sumu na akijaribu kuongea watu humcheka kwa sababu ya lafudhi yake nzito ya kisukuma....lol

"...Dada yangu, umekao-naga kale kakuku ka KIJANI????..."
Jamani, ndugu yangu Masanilo yeye anamwaga English na mtoto mwenyewe anajileta. Halafu kule kwetu ni CHAGULAGA tu mwanawane, yaani kwa Kisukuma tunasema "..Kula kwa Mbwa kuko miguuni.."
 
Nataka nimsaidie ndugu yangu Masanilo....anataka demu bikira kwa sababu hajawahi kumbikiri demu yoyote. Mwenyewe eti anaona fahari kufanya hivyo....

Babha Nzee NN,

Kukaya ise kukabhagi chagulaga ibhega!! Kena ko lulu Ka Kelly01 kalebonekana kawiza sana na kasoga nnoo!!!
 
Cupcake translate please maana hapa kaniacha hoi since my name has been mentioned hahahahah!....
 
"...Dada yangu, umekao-naga kale kakuku ka KIJANI????..."
Jamani, ndugu yangu Masanilo yeye anamwaga English na mtoto mwenyewe anajileta. Halafu kule kwetu ni CHAGULAGA tu mwanawane, yaani kwa Kisukuma tunasema "..Kula kwa Mbwa kuko miguuni.."

Mzee kule bwana ni raha tupu unajiendea kwenye sherehe za mabanda magulioni ikifika jioni unavizia kwenye matuta ya viazi hahahahaha..... zamani vibinti vilikuwa hata ch.... havivai hahahah
 
Cupcake translate please maana hapa kaniacha hoi since my name has been mentioned hahahahah!....

Masa anasema hivi: Kelly inaonekana ni msichana mzuri sana ....na mimi nikamjibu nikamwambia..yeah....yuko bomba kichizi....
 
Mzee kama bado kapo kapo na ni keupe basi nitafunga zizi la ukoo niswage ng'ombe hadi US, Kasomile kene ako angu?
 
Yes nimesoma Msamilo!...kumbuka najua a little bit of kisukuma cupkae ananifundisha hivyo...
 
I think i really need to go Usukumani maana nitaachwa kwenye mataa i see it coming mweee!...
 
Rangi la chungwa na Wasukuma? Usiku hata huhitaji taa siyo??? Ngoja Kachotara kangu nikalete Usukumani, naona ntapata Mang'ombe kibao!!! Ahh, ntachukua Almasi....
 
Back
Top Bottom