Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, Feb 9, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  • Avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe
  • Anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao
  Source: Taifa Letu

  Mbunge wa ukoba vijijini ccm MH NAZIR KARAMAGI anatuhumiwa kudandia wake za watu baada ya kukimbiwa na mkewe mrusi imedhihirika wazi kwa kuvunja ndoa ya mkuu wa wilaya moja ya mkoani kigoma,habari zilizotufikia zimeeleza kwa muda mrefu mh karamagi amekuwa na tabia ya kudandia wake za watu hasa kwa kutumia pesa aliokuwa nayo na hasa kwa kutumia chambo cha ajira katika kampuni zake mbalimbali ikiwamo ile ya kuondoa makontena TICTS.

  Kwa mujibu wa habari hizo mh Karamagi anaelezwa ni mmoja wa vigogo wanaodaiwa kuwa vicheche na walafi ambao wamekuwa wakidandia wake za watu baadhi wakiwa ni wale anaowasaidia ama kuwa karibu na waume zao.

  Mfano hali ni tukio la karibuni ambalo karamagi anahusishwa nalo ni lile la kuharibu ndoa ya mkuu wa wilaya kijana kwa kumrubuni mke wa kijana huyo kwa kumpa kazi TICTS


  ::"""HUYO MZEE(KARAMAGI) NI MLAFI MKUBWA WA WAKE ZA WATU alimpenda huyo binti so what he did akaamua kumpa kazi TICTS then akampa custody tour abroad,nyumba fulfurnished iliandaliwa ili afikie apo anaeleza mdogo wa mke wa dada huyo..inaelezwa mipando ilisukwa wakati mke huyo wqa mkuu wa wilaya anatoka safari lakini bahati mbaya zilivuja kwa mumewe kuhusu tarehe ya kurudina yeye kuamini mkewe alitaka kumshtukiza suprise,

  Mashuhuda wanasema kwamba siku ya kuwasili mwanamke huyo karamagi alikuwepouwanja wa ndege sambamba na mumewe na kumlazimu mke huyo wa mkuu wa wilaya kubabaika na hivyo kulazimisha kwenda kwa mumewe alipokaa.

  Hata hivyo hbari zikaeleza kwambafamilia ya kigogo mwingine ilitumika kumtoa mke huyo alikopelekwa na mumewe kwa kisingizio cha kuwa na mahusiano ya kindugu na badaye mwanamke huyo alichukuliwa na Karamagi.

  Kwa mujibu wa mfanyakazi mmoja wa TICTS karamagi alifanikisha safari za uingereza kwa kisingizio cha kwenda kusoma lakini wakiwa wanakutana kwa mambo yao binafsi kwa nyakati tofauti.

  Habari zaidi zinasema Mh. Karamagi anaendelea kula vya ofisini kwake baada ya kuamua kumrukia mwanamke mmoja wa kizungu anaefanya kazi kwenye kampuni yake ya kukopesha pale mbele ya BRITISH council.


  swali je karamagi anaendelea na huyo kicheche???

  je mumewe ameshaoa??

  je alikuwemo katika list ya wabunge kupima ngoma??

  je kwa style hii ya CCM wabunge na wakuu wa wilaya wangapi watakufa na

  """"""""""UKIMWI"""""""""""""""""

  JE NI WABUNGE WANGAPI WANASAMBAZA UKIMWI KWA DIZAINI YA KARAMAGI

  KUNA UMUHIMU WA KUENDELEA KUPIGA KELELE YA UKIMWI BUNGENI WAKATI WAHUSIKA WANADIRIKI KULA WAKE ZA VIONGOZI WENZAO?????

  CCM No 1,HADI WAKE ZA WATU ,chonde nyie wanaume mlio na wake zenu dodoma bungeni polen sana haya ndio mambo na uchafu unaofanyika huko bungeni,,,,muda tutawaletea MCHAKATO WA john komba na WABUNGE WA KIKE!!!!
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  nenda pale hospitaly ya regency upanga jaribu kudadisi manesi utatoka unalia
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Shy unasema kweli???loh munguwangu!!!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Mh invi,hii mada umeitupia wapi utujulishe basi mkuu
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Haijatupwa, ndo maana ukaandika mkuu. It's a blue Monday I can see :)
   
 6. M

  Mabula Member

  #6
  Feb 9, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ama kweli mungu hakunyimi yote! huyu bwana mh kama si fedha yake huu ubazazi ungeanzia wapi? kwa kweli sura mh kalamagi ameejaaliwa.sijui ana ndugu kule gombe kigoma? hata hivyo wana jf mbona hii si mpya? dc wakati ananyang'anywa mke alikuwa bado hajateulliwa kwenye nafasi aliyonayo. tunasubiri kwa hamu hiyo ya mh mwingine chiriku wa mbinga tunasikia pia uharibifu wake
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Quote:
  Originally Posted by Mama Mia
  Mh invi,hii mada umeitupia wapi utujulishe basi mkuu

  Haijatupwa, ndo maana ukaandika mkuu. It's a blue Monday I can see
  __________________

  mkuu wachaga kurupa means((kuhamisha,ndguzo ulikuja na tireni ambayo leo hii wahindi wanataka kuchomoa mataruma ya kwenda kilimanjaro!!!shhhhhhii usimwambie mt
  mzma mkuu!!happy "v"
   
 8. S

  Sella Member

  #8
  Feb 9, 2009
  Joined: Dec 10, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh kazi ipo
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kumbe wapo wengi sana ama kweli cheo na fedha ni dhamana.
  Akiaamua kutafuna mke yeyote yule anatafuna tu.Lakini wengine wanajipeleka wenyewe wengine ni ukata wa maisha wanataka kuwa na maisha mazuri hao ndo wananaswa kiulaini wanatafunwa tu.Duh hii kali.
   
 10. S

  Sella Member

  #10
  Feb 9, 2009
  Joined: Dec 10, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mdada anaitwa Kisa, alikuwa mke wa Mongella, sasahivi ni assistant manager kitengo flani TICTS
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Du Wakuu hii habari ni ya kitambo kidogo. Yaani ni huzuni sana kwa familia ya Mongela. Nakumbuka serikali japo si direct iliingilia kidogo na ili kupunguza makali kijana akapelekwa Kigoma. Ninachofahamu ni kwamba alidanganya muda wa kuingia Airport Dar. Mama akafika mapema akapokelewa na Karamagi na kumpeleka moja kwa moja kwenye nyumba full furnished Mbezi Beach!!! Hata hivyo, walianza kutofautiana kwa sababu binti alikuwa anataka kuwaona watoto wake kila mara na akawa anajutia kuwa miss watoto. amani ikatoweka. Tofauti zilipozidi sana, basi siku moja Karamagi akakodi gari ili likamhamishe kwa nguvu huyo bibie, gari ilifika hadi nyumbani ila ilishindikana kwani binti alimtishia kuwa akimfukuza basi ataanika dili zake zote na kuwa kila evidence alishaweka. Karamagi kusikia hivyo, akafyata mkia na kuanza kuomba radhi. Hata hivyo hawakuwa na maisha mazuri tena ya amani.

  Binti alitaka amrudie mumewe ikawa shida kidogo kulingana na unyeti wa familia ya ukweni hivyo, ilibaki kuwa ni aibu tu. Hata hivyo, sina details zao kwa mwaka huu 2009 (latest) kuwa
  1. Je bado wanaishi na Karamagi?
  2. Je, mh. Mongela bado hajaoa? Kwani kwa kweli ni muda sasa umepita tangu watengane!!!
  3. Mongela anatakiwa aoe aachane na huyu Kicheche, hana heshima si mama wa familia huyo. Kama atakubali warudiane basi ni kuongeza comlications katika maisha yao.
   
 12. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ah kumbe anakula vicheche
   
 13. m

  mchamba wima Member

  #13
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo kazi ya pesa hiyo
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Maane tunashukuru kwa kushuka na dataz wengine tulikuwa tunajua kama kawa udaku kumbe ishu ilisha tokea kitambo lakini ilihifadhiwa kabatini.
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Maane heshima mbele.
  Shukrani kwa data kwa kweli hata mimi nilidhani ni habari za udaku tu.Inavyoonekana karamagi hana msalie mtume katika hii fani ya ufisadi.
  kikubwa Mongella anatakiwa kumsahau kabisa huyu kicheche kaamua kuuza utu wake kwa fedha za kifisadi.
   
 16. M

  Mzee wa Kaya Member

  #16
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maoni yangu ni kwamba wake za vigogo ndio wanamdandia
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha haaa! Hii kali
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  jamani Mongela si yuko Tarime siku hizi? Kigoma alishahama ama miye ndiye naota? Lakini la pili, ni kwanini mwanamke aonekane ni victim? Kama mwenyewe kaamua kumuacha mmewe na kwenda na mwingine akiwa na akili timamu au kwa kupenda anachokipata huko kwanini liwe tatizo.

  Hoja hapa kwangu siyo kuwa amevunja ndoa ya mtu kitu ambacho Mongela angetaka angeweza kumshtaki Karamagi kwani kuna sheria inayomlinda, hoja ni kuwa huyo mdada ni mtumishi wa kampuni ya TICTS ambayo Karamagi ni mwana hisa mkubwa kama siyo mmiliki. Hiyo ni kashfa kubwa kama ya yule jamaa wa WB na kimada wake! au ya Meya wetu hapa Detroit na Mnadhimu wake Mkuu..
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Feb 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  True that Mzee Mwanakijiji! Hakuna victim hapo kwa sababu wote walikubaliana kufanya walichofanya. Mwanamke angesema hapana hayo yanayosemwa kuwa yalitokea yasingetokea unless angebakwa. Siyo haki kabisa kumlaani mtu mmoja kwenye tendo lililohusisha watu wawili waliolifanya kwa hiari yao. Kama mmoja ana makosa basi na mshirika wake ana makosa tena makosa sawa na huyo mwenzake.
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I am a woman too ila saa nyingine na sisi wanawake tupo so grid na pesa.Siyo kama namtetea huyo mzee karamagi kwa kutumia pesa zake kurubuni wanawake.Ila na sisi wanawake pia we need to use our common sense...whata?is it necessary mtu akikujia na pesa na kukuhonga basi na wewe utoke naye?remember money can't buy you love/cant buy you happynessy...money can either make you or break you...money ni monster...
   
Loading...