Unaona sifa?Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwamba Dunia inajazwa kwenye ndoa tu? Umetumia akili kweli kuandika haya? Kwamba familia haijengwi bila ndoa?Duuh ndoa unafananisha na kununua Malaya???
Ndoa ni zaidi ya sex, ndoa ni ujenzi wa familia na zaidi ya yote ni kutimiza agano na kuijaza dunia to keep it going. Kuna majukumu mengi ya mke/mume ni kwa ajili ya familia sex inakuwa chachandu tu ndani ya haya yote.
Umekuwa na mawazo mafupi mnoo labda kwa sababu ya utoto...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeiga tabia ya babiyoSiwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Atakuwa na element za kishoga huyo...
😂 😂 😂 😂 😂 😂 eti saa4saa4
Sindio mda wa kufukuzwa lodge?😂 😂 😂 😂 😂 😂 eti saa4
😂 😂 😂 😂 😂Sindio mda wa kufukuzwa lodge?