Kwanini watu waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure kuliko ambao hawajaoa?

Siku ukizaa watoto wa kike ukawapenda, haya matendo utayajutia saaanaaa


Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure kabisa.

Walio oa hutuona sisi ambao hatujaoa kua tunagumia gharama sana kupata tendo au kula tunda, wanasahau kua hapa Duniani there is ain't no such thing as a free lunch (free nyapu).

Mwanamke yoyote Duniani hakuli nyapu bila kua na uhakika kua utamtimizia mahitaji yake. Women only give sex to get their basic needs. Sisi tunaonunua na nyie mliooa wote we pay for sex, sisi ambal hatujaoa we pay for take aways nyie mliooa mnalipa full time ila factor ni moja tu, tunapewa pale tunapohakikisha mahitaji yao tametatuliwa au yatatatuliwa.

Hua nashangaa mtu ananiambia, ukioa unapata nyapu bure, wanasahau kua hakuna mwanamke Duniani anatoa nyapu bure, hayupo. Hata vile mwanamke amapokubali kuolewa na wewe ni ana uhakika kua utamtimizia mahitaji yake ya msingi, utagharamia na kuilipia nyapu yake.

We all pay for sex in one way or another. Sex is pricey. Mliooa mnalipia sex in both cash and in efforts, sisi bachelors we only pay cash for sex.
Mkuu ile nyapu nakula bure kabisa, kwa sababu hela nayompa hailingani na kile nachopata kwanza kwa uchache

Ananitunzia vitoto vyangu kwa ujira kidogo!

Nakula anachopika yeye!

Ananifulia,

Anamsimamia house girl,

Anapiga deki mimi nikuingia tu,

Nawekewa maji bafuni,

Ananiwakilisha kwa misibani harusini,

Ananipeleka kanisani,

Ananibeba napotaka

Naweza mkopa hata mwaka mzima,

Ileile nayo mpa yaweza saidia tena mboga maisha yakaenda!

Ananiongeresha,

kitu kingine kizuri anajua kutunza na kuendereza miradi yangu,

Ananiambukiza Nyota ya mafanikio

Ongeza mengine!
 
Back
Top Bottom