baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,710
- 4,450
Mkuu umesoma link yangu? Mansa Musa kaleta waarabu kwenye Himaya yake, Himaya kubwa ambayo hakuna Nchi yoyote ya sasa Africa yenye ukubwa huo, jamaa aliunganisha Nchi kama 20 za wakati huo, utajiri mkubwa kushinda Mabilionea 5 wa Forbes combined wa sasa, jamaa miaka 1000 iliopita yeye mwenyewe Ana mpunga kuliko Pato la Tanzania miaka 10, chukua MO, Bakhresa, na nchi nzima mpaka duka LA mangi mtaani kwako hawafikii utajiri Wa mtu mmoja, then useme hawakuwa United as society?Resistance ilikwepo ila haikuwa na nguv sababu waafrika hawakuwa na mwamko ila kipindi cha ujio wa wazungu , resistance kubwa ilikwepo sababu waafrika they have side to stand and beware of foreign invasion , yaan waarabu walitukuta tupo not United as a society but unified by a leader ( king & chief ) in which Arabs just had to collaborate with local leaders in order to get what they wanted from us ( slaves mostly and other rawmaterials) , Arabs never came to colonise ( notes this please ) that's y they received little resistance from Africans compared to whites who came to Africans demanded full control over the continent ( whites were organised and came to africa under the protection of their Homeland government )
Ukitaka kujua Mansa musa amefanya nini Angalia alipokufa Nchi alizokuwa ameziunganisha zilivyoparanganyika Sababu ya kukosa uongozi mzuri.