Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

Unaweza leta ushahidi hapa Tanzania ama ukanda wetu huu wa waarabu kutesa watu? Waarabu wengi hasa hao wa Oman munaowasema humu,

1. Oman ni nchi Tajiri wao wanaingiza hela za kigeni na hawatoi utajiri wa nchi kwenda nje

2. Hutasikia scandal za ufisadi toka kwao na wana matajiri kibao

3. Biashara zao ni zile zinazoongeza welfare kwa watu

4. Nadra kuikuta wameshtakiwa ama kufanya crime mbalimbali

5. Shule zao ama miradi yao ni katika iliyo bora kabisa nchi hii.

Kifupi mkuu ni watu ambao wapo respected kwenye jamii zao, ndio maana unakuta waarabu wapo pwani miaka na Miaka hawachukiwi na wazawa wa pwani.

Nenda bara sasa, unakuta mtu si yeye wala baba yake wala babu yake alieishi na mwarabu ila ndio Ana chuki 99%, hajui hata anaongea nini,

Chuki imewakaa kwenye damu tayari, ila wapo baadhi wanajitambua. Na mbaya zaidi wanaendelea kukaririshana kwa watoto, wajukuu mpaka watukuu. Mtihani sana hawa watu mkuu.
Hutoelewa waulize wanaofanya kazi nje huku kwenye nchi za kiarabu hutoamini utakachosikia afu si weupe wote ni wabaya kuna wabaya na wazuri pia

Hicho kitu sijakishuhudia bali nakisikia tuu, hivyo siwezi kuwajaji ilhali hakuna ushahidi wowote. Na swala la unyanyasaji mbona lipo kila mahala a na hamsemi, especially huku kwetu kwa mabinti wa kazi,, sio hayo tuu na ukatili upo tena wa kinyama kabisa lakini mnajitoa ufahamu.

👇
Albino wanakatwa viungo huu sio ukatili?

Vikongwe wanauliwa huu sio ukatili?

Baba anauwa mwanae kwa maagizo ya mganga wake ili atajirike huu sio ukatili?

Wafanyakazi wa ndani wanavyoteswa na waafrika wenzao, na wengine kuuawa huu sio ukatili? Refer yaliyotokea dar yule mdada kauawa dhidi ya madam wake

Mwizi anachomwa moto huu sio ukatili?

Wa boda boda kuchinjwa, kupigwa nyundo za kichwa n.k huu sio ukatili?

Wake kwa waume wanakatana mapanga kisa mapenzi, mali n.k huu sio ukatili?

Watu wanauana kisa hela ndogo, huu sio ukatili?

Wanawake wanauawa na kunyofolewa sehemu za siri kisa upate utajiri wa haraka, huu sio ukatili?

Ubakaji, huu sio ukatili/unyanyasaji?

Tarime watu wanauana kisa mashamba, wanawake, mali n.k huu sio ukatili?

Waendelee na wengine kuorodhesha ukatili wa huku........list bado inaendelea. Ila wewe umekuja na chuki zako hapa, na kulalia kwa waarabu tu, ya kwako huyaoni!!
 
Chuki imewakaa kwenye damu tayari, ila wapo baadhi wanajitambua. Na mbaya zaidi wanaendelea kukaririshana kwa watoto, wajukuu mpaka watukuu. Mtihani sana hawa watu mkuu.

Hicho kitu sijakishuhudia bali nakisikia tuu, hivyo siwezi kuwajaji ilhali hakuna ushahidi wowote. Na swala la unyanyasaji mbona lipo kila mahala a na hamsemi, especially huku kwetu kwa mabinti wa kazi,, sio hayo tuu na ukatili upo tena wa kinyama kabisa lakini mnajitoa ufahamu.

👇
Albino wanakatwa viungo huu sio ukatili?

Vikongwe wanauliwa huu sio ukatili?

Baba anauwa mwanae kwa maagizo ya mganga wake ili atajirike huu sio ukatili?

Wafanyakazi wa ndani wanavyoteswa na waafrika wenzao, na wengine kuuawa huu sio ukatili? Refer yaliyotokea dar yule mdada kauawa dhidi ya madam wake

Mwizi anachomwa moto huu sio ukatili?

Wa boda boda kuchinjwa, kupigwa nyundo za kichwa n.k huu sio ukatili?

Wake kwa waume wanakatana mapanga kisa mapenzi, mali n.k huu sio ukatili?

Watu wanauana kisa hela ndogo, huu sio ukatili?

Wanawake wanauawa na kunyofolewa sehemu za siri kisa upate utajiri wa haraka, huu sio ukatili?

Ubakaji, huu sio ukatili/unyanyasaji?

Tarime watu wanauana kisa mashamba, wanawake, mali n.k huu sio ukatili?

Waendelee na wengine kuorodhesha ukatili wa huku........list bado inaendelea. Ila wewe umekuja na chuki zako hapa, na kulalia kwa waarabu tu, ya kwako huyaoni!!
Tunachokizungumzia ni ubaguzi wa rangi ndugu

Kila mahali maovu yanafanyika hakuna sehemu salama
Wanatubagua hawatupendi sababu ya rangi wanatudharau.... Hakuna mtu anaeleta chuki ila tunazungumza ukweli na uhalisia wa mamb
 
Ubaguzi si hata hapa kwetu upo, tena wenyewe kwa wenyewe na kuitana majina mabaya! Hilo hulioni ila kwa waarabu tu mkuu!!! Halafu unasema hawatupendi sababu ya rangi 😁 umekaanao ukaona hawakupendi? Au na yenyewe umehadithiwa!!!! Fanya kazi mkuu, achana na haya mambo ya kusadikika wakati hujashuhudiwa mwenyewe, otherwise hutaishi na watu.
 
Nimewaonglea sababu ni wanatetewa ni wema sana mimi nimeishi nao ninazungumza ninachokijua nilichokiexprience
Huwa sipendi kuzungumza mamb yakusadikika hata mimi kabla niliona wanasemwa nikajua ni uongo ila nimeshuhudia upumbavu wao

Tena tuyaache yananichafua moyo
 
Una lako jambo mkuu, sio bure. Sema tu ni kwa sababu tu waarabu utasema wabaguzi, ila ya kwetu hapa unajifanya huyaoni, tukienda kwenye unyama na ukatili ndio usiseme. Nakusihi tena mkuu, acha chuki!

Mimi nimeishinao waarabu, nawajua A to Z, kwa taarifa yako tu hakuna jamii ya watu wenye roho nzuri, imani na wakarimu kama waarabu, kama wapo wabaya basi watakua ni wachache kwa ninavyojua mimi. Na ubaguzi upo takribani duniani kote ila tunapishana. Ukienda Europe countries ubaguzi upo, italy, uiengereza, amerika n.k, india pia ndio usiseme, tunawaona hapa hawachangamani na jamii zingine, labda mmoja mmoja sana.
 
Wakuu. Turejee
Kwenye historia tunajua kuwa waafrika tulitawaliwa. Mababu zetu walichapwa viboko na kulimishwa( historia inasema hivyo sio mimi)

Hata dini tuliletewa na haohao waliotuchapa viboko.

Swali langu ni je, kwanini ukimbananisha kiongozi wa dini wa kiafrika kuweka uhusiano kati ya ukoloni/utumwa na tunachofundishwa kwenye dini mara nyingi huwa wanaanza personal attacks bila kuleta facts na kuwa wakali

For example kuna kitabu kama song of lawino. Nina quote " they preach what they dont do and do what they do not preach" end of the quote.

So why kila ukijaribu ku reason na pasta huwa wanakua wakali sana. Hawataki kabisa kusikia historia ya utumwa. Hasa mapasta wa kiafrika.

Kwani kuna nini. Kama ilikua ni legal waafrika kutawaliwa na ilikua ni mapenzi ya Mungu tujue. Cha msingi tunataka tujue tu ilikuwa ni halali kuwa kwenye utumwa? Ni swali yu wakuu
Unachosema Ni kweli maana hata Mimi Kuna cku nilimkutanisha mtumishi mmoja hakutaka kabisa kuhusianisha dini na historia Mimi binafsi nilijua tu Ni kwa sababu ukichimba sana dini kihistori jibu utapata Ni biashara mean historia÷dini=biashara na historia ndio huwa inafichua madudu ya dini mfano mfupi tu muulze mtu Kama dn ililetwa na mkolon je kabla kulikuwepo na nn?? Hapo jbu utakalopewa halitakuwa na tabasam ndani yake ukiuliza la pili wale waliohubiri huruma na kuwasaidia maskini na kutoa sadaka baadae waliwafanya nn waafrica walijinufaishaje?? Hapo utakaziwa sura ibidi utaambiwa una pepo ndan yako lakini mswali Kama haya ya kutaka kuuchunguza ukweli yakiwa mengi sana hapo ndipo utatishiwa Moto mkaaali ambao umeandaliwa kwaajl yako wewe unayehoji
 
Nimewaonglea sababu ni wanatetewa ni wema sana

Una lako jambo mkuu, sio bure. Sema tu ni kwa sababu tu waarabu utasema wabaguzi, ila ya kwetu hapa unajifanya huyaoni, tukienda kwenye unyama na ukatili ndio usiseme. Nakusihi tena mkuu, acha chuki!

Mimi nimeishinao waarabu, nawajua A to Z, kwa taarifa yako tu hakuna jamii ya watu wenye roho nzuri, imani na wakarimu kama waarabu, kama wapo wabaya basi watakua ni wachache kwa ninavyojua mimi. Na ubaguzi upo takribani duniani kote ila tunapishana. Ukienda Europe countries ubaguzi upo, italy, uiengereza, amerika n.k, india pia ndio usiseme, tunawaona hapa hawachangamani na jamii zingine, labda mmoja mmoja sana.
Na ndmn nilisema sio wote sababu hata mimi kuna familia ninaifahamu ni wakarimu na nilikua nina urafiki nao.... Na kila sehemu jamii zao kuna wazuri saaaaana kuna wazuri wa kawaida na wabaaya sana.... That is my fact
 
Unasoma dini ama unahisi tu?

Kwenye uislamu utumwa huzungumziwa sana na ukitaka kufahamu vizuri, soma historia ya watumwa wenyewe.

Kipindi watumwa wanachukuliwa Africa wengi walikuwa ni waisilamu na dini za ki Africa, Sababu walikuwa makabila tofauti tofauti walimu wa madrasa waliokuwa na elimu kidogo ya kiarabu ndio waliwaunganisha wa Africa kudai haki zao.

Unajua kama kuna kipindi walipiga marufuku watumwa wa Kiisilamu Sababu walikuwa wanatengeneza awareness kwa watumwa wengine?

Unajua kama riots na vita vingi ambavyo watumwa walipigana viongozi wao walikuwa ni waisilamu?
Unataka kusema nini kwa mfano! kuutenga ushiriki katu ya utumwa na uislam?

Hizi dini ningependekeza zifutiliwe mbali kabisa. Zipo kimkakati dhidi yetu.
 
Tunachokizungumzia ni ubaguzi wa rangi ndugu

Kila mahali maovu yanafanyika hakuna sehemu salama
Wanatubagua hawatupendi sababu ya rangi wanatudharau.... Hakuna mtu anaeleta chuki ila tunazungumza ukweli na uhalisia wa mamb
Wakati alibino wanauliwa nani alileta msaada wa kupambana na hayo Mauaji? Si kuwait?

Barabara ngapi zimejengwa na kuwait nchi hii? Mahospitali mangapi?

Wana pata nini kuwait toka kwetu zaidi ya kutusaidia?
 
Unataka kusema nini kwa mfano! kuutenga ushiriki katu ya utumwa na uislam?

Hizi dini ningependekeza zifutiliwe mbali kabisa. Zipo kimkakati dhidi yetu.
Jukwaa huru mkuu shusha point, emotion hazitakusaidia chochote,

Nimeleta mimi data zangu uislamu kujengwa na watumwa, kuanzia mtume alikuwa akiwa nunua na kuwaachia huru, leo ukisikizia adhana msikitini imetoka kwa Bilal, mtu mweusi alikuwa mtumwa na ndio aliebuni Adhana na Mtume kui approve, mtume mwenyewe akawa against na Utumwa na kutunga sheria nyingi za kudiscourage.

Tumeona maisha ya watumwa wengi na ushahidi mwingi wakitumia uislamu kupigania haki zao, mpaka tukafika age za kina Malcom X na Mohammed Ali.

Huwezi ukaelezea Harakati za muafrica ziwe za ubaguzi wa Rangi, kupinga utumwa ama kudai uhuru bila Kuongezea role ya uislamu kwenye hizo Harakati.

Huo umodern wenu mnaojifanya mnao ndio ume wafanya muwe mazuzu na mazombie ya watawala wa dunia.
 
Nakubaliana na ww mkuu. Ya ni kweli, waafrika wengi hawafahamu "nation of islam" waliotoka kina malcom x na mike tyson na mohamed alli
 
Back
Top Bottom