Kwanini watoto wengi waliozaliwa nje ya ndoa huwa na akili nyingi sana darasani?

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 60% ya watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wa ndani ya ndoa.
Sababu ni nini hasa?
SOURSE
Chunguza top ten ya uliosoma nao
 
mmh, unakuwa kama na kisasi na maisha
unadedicate nguvu zako darasani
hasa kupruvu jamii una thamani

kind of social misfit
 
hii imewahi kuelezwa sana na mchungaji mwakasege....
inaitwa 'theory ya mzaliwa wa kwanza'
nimewahi kuanzisha thread hapa zamani....

nlifuatilia jamaa alishusha shule nzuri kweli kuhusu lango kwa mtoto wa kiume na wa kike wale wa uzao wa kwanza,sasa kuna mzaliwa wa kwanza kiroho..
 
mateso na manyanyaso/kukosa ukamilifu huwafanya kuwa na bidii ili kujikwamua hapo baadae. Hata binadamu wanaoishi katika mazingira magumu (mfano ulaya hali ya hewa) huwa wagunduzi na wataalamu kwa kuwa huweka bidii ili kujitoa katika hali mbya tofauti na wanaoishi katika mazingira rafiki (tropic mfano afrika) ambapo kila kiti kipo hivyo kuwafanya watu kuishi kirahisi na hivyo kutokuwa wabunifu na wenye bidii.
 
si kweli...... mimi sijazaliwa nje ya ndoa alafu nina akili sana nilikuwa na buruza hadi watoto wa nje ya ndoa class .. aliewapa hizo taarifa ni muongo au anajifagilia tu.. uwezo wa mtu unatokana na malezi na jitihada zake binafsi pale anapopata akili
 
Ulipata divisheni ngapi wewe sekondari?
 
Well, inategemea na malezi ya mzazi (kuna wa nje ya ndoa ambao wanalelewa na baba alone pia). Lakini nurturing ya mzazi inasaidia, japo aisee genetic factor imahusika! Manake kuna mwenza unakuta ni kiazi cherema, so mtoto inabidi uvute na winch, mweh!
 
We ulipata divisheni ngapi?
 
Mbona mie wa ndani ya ndoa na kuanzia nasari mpaka chuo nina akili darasan na nimeperform kuliko hao wa nje ya ndoa,na still mpaka job watu wako na masters za nje ya nchi na uzoefu wa miaka kibao na ni wa nje ya ndoa still nawapiga nawapelekesha!cna uhakika sn na utafiti wako.
 
mateso na manyanyaso/kukosa ukamilifu huwafanya kuwa na bidii ili kujikwamua hapo baadae. Hata binadamu wanaoishi katika mazingira magumu (mfano ulaya hali ya hewa) huwa wagunduzi na wataalamu kwa kuwa huweka bidii ili kujitoa katika hali mbya tofauti na wanaoishi katika mazingira rafiki (tropic mfano afrika) ambapo kila kiti kipo hivyo kuwafanya watu kuishi kirahisi na hivyo kutokuwa wabunifu na wenye bidii.

mkuu kwenye bold hapo ndio penyewe haswaa sababu walioko kwenye ndoa huwa wanauhakika zaidi kuliko ambaye anaishi kwa kubahatisha..
 
Wewe si umechukua maakili ya baba yako Mtambuzi? Afu ukicheza unaota kipara kama yeye, akili nyingi sio nzuri kwa afya ujue!
Mbona mie wa ndani ya ndoa na kuanzia nasari mpaka chuo nina akili darasan na nimeperform kuliko hao wa nje ya ndoa,na still mpaka job watu wako na masters za nje ya nchi na uzoefu wa miaka kibao na ni wa nje ya ndoa still nawapiga nawapelekesha!cna uhakika sn na utafiti wako.
 
si kweli...... mimi sijazaliwa nje ya ndoa alafu nina akili sana nilikuwa na buruza hadi watoto wa nje ya ndoa class .. aliewapa hizo taarifa ni muongo au anajifagilia tu.. uwezo wa mtu unatokana na malezi na jitihada zake binafsi pale anapopata akili
Hujaambiwa wote umeambiwa asilimia kubwa
 
Kwa sababu zilitumika akili nyingi na mbinu nyingi sana kutenda kitendo cha kupatikana kwao!!
 
Back
Top Bottom