Kwanini Watazania tunaitwa wanyonge?

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,541
3,449
Watanzania ni wanyonge kwa sababu ya unafiki wa wabunge wetu. Bunge letu ndiyo chanzo cha unyonge wetu. Tuna wabunge vigeugeu sana katika Taaifa hili.

Kwenye elimu ya juu walishiriki kupitisha sheria kandamizi iliyosukuma mabadikiko ya makato lakini leo wamesahau wanapiga makofi kwenye ripoti inayoonesha makosa yaliyofanyika kutokana na sheria hiyo waliyoishangilia ikapita. Yaani kama hawakuwepo vile.

Miradi wanayoiponda leo, waliisifia kipindi cha mwendazake. Leo wamekuwa kama wabunge wa kutoka nchi nyingine waliokuwa kuishauri Tanzanja.

Aina hii ya wabunge ni hatari sana kwa Taifa hili katika nyakati zote.

download (14).jpeg


download (13).jpeg


download (15).jpeg


images (43).jpeg
 
Back
Top Bottom