Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,126
- 4,169
Anatokea Wapi Ama Yule Aliyepandishwa Vyeo Viwili Haraka HarakaMrithi wake hivi punde tu utamsikia
Simpendi Sirro lakini hiyo sensa ya watanzania wengi uliifanya lini na ukaifanyia wapi ukajua wengi hawampendi?
Wote wanaompigia debe Kaganda ni wapumbavu.Hawa ni wale wale wapiga debe wa Kaganda.... ndo maana unaona kashachomekea wakati subject ni Siro. .
Kama issue ni uanamke, wapo wanaofaa lkn sio Kaganda !!
mitaa ipi? overage na methodolgy uliotumia ni ipi?Mitaani
Tupe andiko la chapisho lako ,ili tukubaliane na ww.No research no right to speak.Au unataka kutufanya na sisi mazombi tu kama mbowe anavyowafanya cdm.Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
Tupe maoni yako.Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hatta kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
Umefanya tafiti wapi ya hao watanzania wengi? Sema bavicha!Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
wewe unamuonaje?Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?
Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
Mara wanasema CHADEMA imekufa mara CHADEMA wabinafsiKama hujui kufanya dodoso kaa kimya. Chadema wanahusika vipi?