Kwanini Watanzania wengi wanashindwa kutofautisha R na L kwenye kuandika Kiswahili na si Kiingereza?

kuitawala Tz raisi sana. kenyatta alimwambia nyerere. alichokifanya mulamula ni dharau/ignorance kwa wananchi. sasa utaelewa nini pale
 
Mimi shidayangu kuitamka r na l kwenye english mtihaniiiii
 
kuitawala Tz raisi sana. kenyatta alimwambia nyerere. alichokifanya mulamula ni dharau/ignorance kwa wananchi. sasa utaelewa nini pale"
"Mulamula" hilo jina tu mngejua maana yake kwa kinyarwanda msingeongea.
 
Baada ya kutunanga kote ,
Mnatusaidiaje sasa??, Maana siyo kama tunapenda kuzichanganya.
 
Hili tatizo limekuwa kubwa sana kwenye vibao vya anwani za makazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…