Ruto alimkashifu mwenzake akasema ana mkono wa swetawatanzania wote wanamkubali na kumpenda sana Raila Odinga na sio William Ruto
Umegusa mule mulemaoni yangu binafsi
1.Wanaona Kama amepambana muda mrefu in opposition na amekuwa akiibiwa kura.sasa ni zamu yake..
2.elewa watanzania wengi wanampenda Sana Kenyatta na Kenyatta anamsuporti odinga
3.Alikuwa rafiki mkubwa wa magufuli
4.Mzee ana hekima ,East Africa itaimarika....elewa Rutto ni mtu wa jino kwa jino..
5.Mjaluo , ni ndugu yetu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii jumuiya watanzania inatusaidia nini?Odinga ana siasa za malidhiano, sio fisadi kama Ruto. Alafu mtu kwa maoni yangu ataimarisha mahusiano ya Africa mashariki. Kumbukeni Kenya is an engine of East Africa Economy. Mtu kama Ruto cku zote maoni hake juu ya utengamano wa EA uwa sio positive. Bora mzee wa Kitendawili apite.
Nimekuwa nikifuatlia kwa umakini sana huu mchakato wa uchaguzi nchini kenya kuanzia kipindi cha kampeni mpaka uchaguzi siku ya jana
Nilichogundua ni kwamba asilimia 80 ya watanzania wote wanamkubali na kumpenda sana Raila Odinga na sio William Ruto je hali hii inasababishwa na nini ama kuna kitu gani cha tofauti alichokifanya Raila Odinga tofauti na Ruto!!
Kwasababu Raila ni CHADEMA.
Odinga ana siasa za malidhiano, sio fisadi kama Ruto. Alafu mtu kwa maoni yangu ataimarisha mahusiano ya Africa mashariki. Kumbukeni Kenya is an engine of East Africa Economy. Mtu kama Ruto cku zote maoni hake juu ya utengamano wa EA uwa sio positive. Bora mzee wa Kitendawili apite.
Hizi ni takwimu za michongoNilichogundua ni kwamba asilimia 80 ya watanzania wote wanamkubali na kumpenda sana Raila Odinga na sio William Ruto
Ni Bora Raila Odinga awe rais wa Kenya Tanzania itapumua
1. Odinga anapenda kushirikiana sana na Tanzania hii itarahisisha Biashara nyingi hasa za mazao kwenda kuuza kenya.
2. Kenya hakuna alie msafi Ila afadhali ya Odinga kuliko wote Baba amesaidia mengi hasa kwa wakenya kutambua haki na usawa wao hasa Yale makabila ambayo yanadharauliwa na wakikuyu na wakalenji.
3. Odinga siasa yake n kuruhusu mtu yeyote kujitegemea na kuminya ufisadi hii itafanya wakenya wengi kuwa na uwezo na wachache wawe maskini hvyo kuoitia humo itakuwa Ni rahisi TZ kufanya Biashara na Kenya zenye uwiano sawa kifaida
4. Akichukua Odinga adabu itakuja kwa wakikuyu ambao ndio wanairun Kenya nyuma ya wasomali.
William Ruto
Huyu ni mbinafsi alafu ni mchungu sana amekaa kiupambanaji lakini Ni mjanja mjanja Sana.
1. Hapendi kushirikiana hvyo akiwa rais Kenya itazidi kuwa juu ndani ya E.A
2. Umahiri wake utafanya wakikuyu na wakalenji kujimilikisha Mali kwa upambanaji au lazima ili wawe Ni watu wanaoheshimika Kenya.
3. Kwa ujanja ujanja alionao anaweza muingiza king mama wa tz mwishowe tukawa manamba wa Kenya.
4. Itakuwa ngumu kwa watanzania kuingia na kufanya Biashara Kenya kuliko ilivyosasa hii itafanya wakenya wachache wawe matajiri na wengi kuwa maskini.
Ruto n Hustler ataharibu East Africa kwa kuijenga Kenya
Raila Ni mtu poa Hana Mambo mengi
inahitaji ushahidi wa kutoshamaoni yangu binafsi
1.Wanaona Kama amepambana muda mrefu in opposition na amekuwa akiibiwa kura.sasa ni zamu yake..
2.elewa watanzania wengi wanampenda Sana Kenyatta na Kenyatta anamsuporti odinga
3.Alikuwa rafiki mkubwa wa magufuli
4.Mzee ana hekima ,East Africa itaimarika....elewa Rutto ni mtu wa jino kwa jino..
5.Mjaluo , ni ndugu yetu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sijawah sikia Sera zake zaidi Historia yake yakisiasa ndo imenipa hali ya kumkubali! Ni mtu ambae alishasaritiwa na Raila Odinga huko nyuma akabaki mwenyewe, akasimama mpk akaja kuwa Vice President! Amekuja kusalitiwa pia na Uhuru Kenyata ila jamaa bado kasimana japo katokea familia maskin.Kwanini unamkubali san Ruto toa sababu zako?