Na wasiyempenda kaja.Nimekuwa nikifuatlia kwa umakini sana huu mchakato wa uchaguzi nchini kenya kuanzia kipindi cha kampeni mpaka uchaguzi siku ya jana
Nilichogundua ni kwamba asilimia 80 ya watanzania wote wanamkubali na kumpenda sana Raila Odinga na sio William Ruto je hali hii inasababishwa na nini ama kuna kitu gani cha tofauti alichokifanya Raila Odinga tofauti na Ruto!!
Kenya hawataki uhayawani wa Mwendazake ndio maana wamempa za USO huyo Odinga wenu.maoni yangu binafsi
1.Wanaona Kama amepambana muda mrefu in opposition na amekuwa akiibiwa kura.sasa ni zamu yake..
2.elewa watanzania wengi wanampenda Sana Kenyatta na Kenyatta anamsuporti odinga
3.Alikuwa rafiki mkubwa wa magufuli
4.Mzee ana hekima ,East Africa itaimarika....elewa Rutto ni mtu wa jino kwa jino..
5.Mjaluo , ni ndugu yetu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Laila Jaramog OdingaKwani Vatican imepanga nani awe Rais wa nchi ya Kenya?
Ruto shikilia hapo hapo,kumbe mnataka ma taahira wenzenu sio?Ni Bora Raila Odinga awe rais wa Kenya Tanzania itapumua
1. Odinga anapenda kushirikiana sana na Tanzania hii itarahisisha Biashara nyingi hasa za mazao kwenda kuuza kenya.
2. Kenya hakuna alie msafi Ila afadhali ya Odinga kuliko wote Baba amesaidia mengi hasa kwa wakenya kutambua haki na usawa wao hasa Yale makabila ambayo yanadharauliwa na wakikuyu na wakalenji.
3. Odinga siasa yake n kuruhusu mtu yeyote kujitegemea na kuminya ufisadi hii itafanya wakenya wengi kuwa na uwezo na wachache wawe maskini hvyo kuoitia humo itakuwa Ni rahisi TZ kufanya Biashara na Kenya zenye uwiano sawa kifaida
4. Akichukua Odinga adabu itakuja kwa wakikuyu ambao ndio wanairun Kenya nyuma ya wasomali.
William Ruto
Huyu ni mbinafsi alafu ni mchungu sana amekaa kiupambanaji lakini Ni mjanja mjanja Sana.
1. Hapendi kushirikiana hvyo akiwa rais Kenya itazidi kuwa juu ndani ya E.A
2. Umahiri wake utafanya wakikuyu na wakalenji kujimilikisha Mali kwa upambanaji au lazima ili wawe Ni watu wanaoheshimika Kenya.
3. Kwa ujanja ujanja alionao anaweza muingiza king mama wa tz mwishowe tukawa manamba wa Kenya.
4. Itakuwa ngumu kwa watanzania kuingia na kufanya Biashara Kenya kuliko ilivyosasa hii itafanya wakenya wachache wawe matajiri na wengi kuwa maskini.
Ruto n Hustler ataharibu East Africa kwa kuijenga Kenya
Raila Ni mtu poa Hana Mambo mengi
Hivi Chadema ipo kweli maana naona kama imebadili jina kuwa Tadea?Chadema wanafiki walisema urafiki Nate kisa rafiki wa Magufuli wakaenda ku.msupoort Kenyatta walipompokea Lowasa !!!
Sasa sababu walimuunga mkono Kenyatta walivyoona Kenyatta anamuunga mkono Odinga wamehama na Kenyatta kujitia ohh tunamuunga mkono Raila Odinga!!
Chadema kinaongoza kwa unafiki duniani
Anyway Raila hatashinda sababu ya nguvu ya ukabila iliyo Kenya. Ruto nguvu take iko kwenye makabila makubwa mawili ya kalenjin na kikuyu
Siasa za Kenya nyepesi sana kubashiri nano atashinda unaangalia tu makabila makubwa yako upande wa nane umemaliza
Ruto kashinda kura hadi kituo ambacho Raisi Kenyatta kapiga kura!!!
2 ndio jibumaoni yangu binafsi
1.Wanaona Kama amepambana muda mrefu in opposition na amekuwa akiibiwa kura.sasa ni zamu yake..
2.elewa watanzania wengi wanampenda Sana Kenyatta na Kenyatta anamsuporti odinga
3.Alikuwa rafiki mkubwa wa magufuli
4.Mzee ana hekima ,East Africa itaimarika....elewa Rutto ni mtu wa jino kwa jino..
5.Mjaluo , ni ndugu yetu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app