ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,260
Nimekuwa nikifuatlia kwa umakini sana huu mchakato wa uchaguzi nchini kenya kuanzia kipindi cha kampeni mpaka uchaguzi siku ya jana
Nilichogundua ni kwamba asilimia 80 ya watanzania wote wanamkubali na kumpenda sana Raila Odinga na sio William Ruto je hali hii inasababishwa na nini ama kuna kitu gani cha tofauti alichokifanya Raila Odinga tofauti na Ruto!!