Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

Kwa sababu dini ya kiislam iliingia Tanzania siku nyingi ndo maana tukastaarabika,hata wakristo wa Tanzania hawatumii toilet paper vyooni hutumia maji!
 
Nadhani tofauti hizo zinatokana zaidi na mila na desturi za watu tofauti!
 
Ndio maana nilikuambia wewe mbumbumbu. Tanzania kuua nyani ni kosa la jinai, utamkuta vipi anauzwa buchani wewe?
Wanaokula tumbili na kima wanakula kimtindo huko mashambani. Unapoongea porojo zako zingatia na sheria za nchi husika

Sasa hauoni kama huwo ndiyo ustaarabu wetu wenyewe kwamba nchi yetu ina maana hairugusu sisi kula Nyani, lkn huko Kongo, Kameruni, Ivory Coast, Nigeria ni kawaida na kuna Bucha zinazouza nyama za Nyani, Sokwe &Co. na ndiko ebola ilikotokea, wamepata ebola kwa sababu ya kula nyama za Masokwe ambao wana virusi vya ebola!
 
Wabongo bwana kwa kujisifu ndo maana hatunenepi waafrika magharibi wanakuwa na miili mikubwa kwa sababu wanakula mamba
 
Leo umeleta uzi wa maana. Kwa watanzania walio wengi hawatakubali hili sababu pamoja na yote hayo watanzania hatuna exposure, wengi hawajatoka, hawajui nchi zingine wanaishije na hawafuatilii habari zaidi ya za michezo na starehe. Hivyo watakupinga lakini uliyosema ni kweli kwa asilimia kubwa.

Lakini pia wengi watakupinga sababu watanzania tuna kasumba moja ya kusifia kila kitu cha nje isipokuwa Chetu. Nimeshaona wamekuja wanaotaka kuzipamba Botswana, Namibia nk ilimradi wasifie vya nje isipokuwa nchi yao. Hii ni kutojiamini kwa hali ya juu

Ustaarabu uliyopitiliza ndiyo unafanya tuchukuliwe poa au kuendeshwa kiboya sometimes
 
Wanafiki tu watanzania hakuna kingine.. siku zote muogope mtu ambaye anaficha ficha tabia zake kama mtanzania kwa kujifanya mstaarabu hakuna lolote tunaongoza kwa unafiki.

Kwa vyakula kiukweli tunaongoza kula vizuri lakini pia hapa kuna shida maana wanaume wengi wa kitanzania nguvu hamna na sehemu za siri ni ndogo ukilinganisha na west africa + kwingineko, pia dada zetu matatizo ya uzazi imekuwa shida hii ni kwa sababu ya hivi vyakula tunavyoita vizuri ambavyo tunakula toka utotoni.

Watanzania ni moja ya jamii iliyopoteza uasili wao wa kiafrica na kujaribu kuishi kama jamii nyingine kama wazungu + waarabu kiukweli hili limeathiri sehemu kubwa ya tanzania..
 
Wabongo bwana kwa kujisifu ndo maana hatunenepi waafrika magharibi wanakuwa na miili mikubwa kwa sababu wanakula mamba
Hatunenepi au tunazidi kuwa na vibamia na upunguvu wa nguvu za kiume?
 
Mila na desturi ni mama wa yote... Kwa kiasi fulani, sidhani kama kuna uhalali wa sisi kudai kwamba mila na desturi zetu hapa Bongo ni bora kuliko mila na desturi za watu wengine. Hapana, zetu ni tofauti tu na za wengine, kwa sababu ya tofauti ya histories zetu! Do not underestimate the power of norms and customs. Tunaokula nyama ya mbuzi leo hii pengine tungekuwa hatuili kama ingetokea ancestors wetu wakatuaminisha tangu utoto wetu kwamba nyama ya mbuzi hailiwi! Kwa hiyo, hatuli tusivyokula kwa sababu tumeaminishwa tangu utoto wetu kuwa haviliwi. Vinginevyo, Vipo tunavyokula sisi ambavyo wengine hawavili kwa sababu zile zile za mila na desturi.
 
Sasa hauoni kama huwo ndiyo ustaarabu wetu wenyewe kwamba nchi yetu ina maana hairugusu sisi kula Nyani, lkn huko Kongo, Kameruni, Ivory Coast, Nigeria ni kawaida na kuna Bucha zinazouza nyama za Nyani, Sokwe &Co. na ndiko ebola ilikotokea, wamepata ebola kwa sababu ya kula nyama za Masokwe ambao wana virusi vya ebola!

Ukiona mpaka sheria inatungwa juu ya jambo fulani basi ujue haja ya uwepo sheria ni dalili ya uwepo wa makosa. Sasa umehama kutoka kwenye ustaarabu ambao ni hiyari ya mtu mpaka sheria ambayo ni shuruti. Hivi kwa akili yako, serikali ya Tanzania ikituwekea sheria kuwa tukimuona mzungu Samora kabeba mzigo, tumpokee, tukiona mzungu kwenye basi, tumpishe kiti...huo ni ustaarabu wa Watanzania au sheria ya Tanzania?
 
czani kama uko sahihi sana ..umeshafika Namibia au Botswana?
Ni kweli kabisa nafikiri anataka kutia moyo kwa sababu ya shida nyingi tulizonazo watanzania ukweli ni kwamba atembelee nchi kama Rwanda, Namibia au Botswana nafikiri atashangaa.
Mimi huwa nasema kwamba watanzania ni wapole na huo upole ndiyo watawala wetu wanautumia kutuumiza, wanajua kabisa wahawa wafanyi kitu, ni wapole, vitu vingine tunavyofanyiwa du vinatia hasira.
Ndiyo maana katika watu wanaoishi kwa furaha, nchi yetu kwenye miamoja bora haipo ni stress mwanzo mwisho.
Sasa mtu akisema sisi tuko vizuri huwa simuelewi, hayo mambo ya vyakula sijui nini ni vitu vidogo.
Kwa hiyo tuendelee kujifariji tu lakini watanzania hawana furaha nchini kwao.
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu wa vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzania pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwezekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingine Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendelea kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya kijamii!
wewe mleta mada umezunguka tz yote.kila eneo wanachakula chao special mfano ukija huku kwetu mbwa ndo mboga yetu.wengine nyoka,punda,senene,usiseme konokono n.k
 
Tuliiga ustaarabu wa Muingeleza wakati anatuachia nchi yetu,ndo mana hata kuvaa kwetu ni kwa ustaarabu.ukiondoa wale wanaoiga umarekani hasa dada zetu
 
Huyatembea Tanzania yote Kuna jamii zinakula vitu vya ajabu Sana hii inatokana na uhaba WA vyakula au tamaduni
mtwara wanakula upupu nilishangaa
 
Back
Top Bottom